mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
- Thread starter
-
- #61
Chachu hansi alishafukuza, ana ambaye hana jina anajipigia Nile mahari katoto kanaangaikankamekosa matangazo tangu HK Hussein kufilidokaRay ana mke?!!si anaishi na chuchu
Story zake jamaa zinahitaji kuwe na teknolojia ya hali ya juu pia LocationHivi hawa hawawezi kukutana na shigongo angalau awe anawauzia story watoke jamani wamefunga sana etii yaani
Nikiwa safari za kibiashara hakuna basi linatembea kilometa mia tano bila kuweka movie ya Mkojani. Kwa sasa anatoboa kwenye matangazo yaaniHuyo mkojani anajitahidi kuvaa viatu vya Mzee Majuto lakini vitampwaya siku moja kwani anamisifa sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona nabii!
Dotnata hatoisahau deci asilaniWana JF
Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na juhudi zake za kukonga roho za watu kutokana na umahili wa kuigiza nyanja zote.
Msindani wake Visent Kigosi almaalufu kama King Ray, alijinasibu kuwa wana uwezo unaofanana katika uigizaji. Mara nyingi tuliona drama za kushindana hata kuonyesha magari mazuri. Kanumba yeye alijikita kwenye mapenzi na wasichana wapya wakati Ray yeye alinasa kwa majimama yenye pesa.
Namkumbuka Dotnata akiwa ni mtu mzima mama wa watoto wawili alikuwa ilimanusura waoane. Dottinata kipindi hicho anawika kwa mapishi bora ya kwenye harusi na masherehe pia na mapambo. Sikui hizi haonekani kabisa. Ray hata matangazo hawampi Richard ya kuandaa mwanae angalau aambulie ustaa bado mbichi lakini naye makosa promo baada ya Ray kutengana na mke wake.
Chawa wa SSHWewe nyota yako inazunguka kwa mgongo wa nan mtoa mada
Umenikumbusha DECi mke wangu nilimkataza akanikwepa aje anishangaze akaliwa laki nane.yaani iliuma kama nini aiseeDotnata hatoisahau deci asilani
Freemason wakiamua kukupa ustar fasta tuuKANUMBA ALIBEBWA NA FREEMASON
Hili kaburi noma sanaNumbisa wewe ni ME??
Wewe huna unalojua zaidi ya kuropoka kama bwabwa la zenji.Wewe ni juha tena juha mkubwa tu.
Alikiba kaanza kuwa star zamani sana wakati wewe upo kwenu chitohori na diamond anauza mitumba tandale huko.Kwa sisi ambao tumekulia mjini na tumeanza kusikiliza mziki kitambo hatuwezi kusema kauli za kiwaki kama hizo.
Wakati alikiba anafanya kazi na wasanii wakubwa wa Afrika na star R Kelly vipi alikuwa sio maarufu.
Ficha ujinga wako
Wewe ni juha tena juha mkubwa tu.
Alikiba kaanza kuwa star zamani sana wakati wewe upo kwenu chitohori na diamond anauza mitumba tandale huko.Kwa sisi ambao tumekulia mjini na tumeanza kusikiliza mziki kitambo hatuwezi kusema kauli za kiwaki kama hizo.
Wakati alikiba anafanya kazi na wasanii wakubwa wa Afrika na star R Kelly vipi alikuwa sio maarufu.
Ficha ujinga wako
Kote Pwani na mambo yao ya kipwani pwani.
Nollywood na Bongo movie zote kelele tu ila watu wanapata mkate wao wa kila siku kwenye hizo tasnia so there's that.
Uko kama mimi mzee baba yaani mimi bora uniwekee kwaya niangalie kuliko kuangalia move za nigeria
Kiba ni maarufu domo akiwa bado mchimba chumvi tu unataka kusema niniRay bana hadi blog akaanzisha ili mradi aonekane mwamba kama kanumba. Kifo cha kanumba ni pigo kali kwa ray na vidada alivyovivumbua,vimebakia na umaarufu wa insta tu
Huu ni mfano Domo vs kiba& harmo
Kiba na harmo wamuombee domokaya maisha marefu maana ndie aliyebeba umaarufu wao
Mila zetu sio vizuri kumsema marehemu ila hapa simsemi marehemu nasema kazi zake. Kwanza huyu Ray usimweke katika list ya actor sababu hajui wala hatajuwa zero lakini pia marehemu jamani kwa uigizaji upi? ukweli hakuna wala hajatokea muigizaji tunakuwa majina tu sijui the greatest vipimo vipi tumetumia kumpa mtu daraja hili? Ni kelele za media tu ila sio waigizaji hakuna kituUle msuguano wao wa kishabiki ulikuwa unanogesha tasinia nzima ya bongo movie.
Na ieleweke bila ushindani wa vile mara nyingi kunakuwa hakuna maendeleo ya jambo husika.
Inawezekana pia kama angetangulia Ray, Kanumba naye kwa kiasi fulani angeyumba.
-Kanumba The great ....Ray naye akajiita The Greatest 😅
Kanumba alikuwa anajua kuigiza wewe acha kinyongo, yaani Yale maisha yetu yakila siku na vitendo vyetu jamaa alikuwa mnoma SanaMila zetu sio vizuri kumsema marehemu ila hapa simsemi marehemu nasema kazi zake. Kwanza huyu Ray usimweke katika list ya actor sababu hajui wala hatajuwa zero lakini pia marehemu jamani kwa uigizaji upi? ukweli hakuna wala hajatokea muigizaji tunakuwa majina tu sijui the greatest vipimo vipi tumetumia kumpa mtu daraja hili? Ni kelele za media tu ila sio waigizaji hakuna kitu
Chuki kwa marehemu? mtazamo wako huo haki yako mimi nimeongelea mtazamo wangu ila hapo kutuwakilisha Dunia mhhhhh haya bwana maana hata hao wa Nigeria kuigiza hawajui umetaja wa Kenya sasa wa Kenya wanaigiza nini? wakenya zamani walikuwa wazuri kwenye comedy kama kile kipindi cha mahakamani.Kanumba alikuwa anajua kuigiza wewe acha kinyongo, yaani Yale maisha yetu yakila siku na vitendo vyetu jamaa alikuwa mnoma Sana
Kama unaamini jamaa alikuwa siyo muigizaji mzuri nenda kaiangalie crazy love aliigiza kama kichaa yaani humo ndani kaigiza kama nikichaa kweli Tena kichaa msomi
Mkuu! Jamaa pamoja na kuabudu Dini ya mashetani lakini alikua so talented yaani aliifanya kazi yake kwa Moyo woote nandiyo maana zilifanya vzuri kazi zake sokoni
Kumbuka Kanumba ndiye alitetuwakilisha Afrika na Dunia
Wakenya walikuwa wanamkubari Sana, pia Kanumba huyu huyu ndiye alituwakilisha Nigeria akafanya film kama cross my Sin na she is my sister.
Pia Kanumba alikuwa siyo mbinafsi kwakuibua vpaji tunaona Watu kama akina Wema, Pancho Mwamba, Patrick na Jenifer na wengine wengi ambao wanafanya vzuri Sana kwasasa.
Kanumba The great tutamkumbuka Daima aliitendea haki tasnia ya bongo movie ambayo.
Huu wangu mtazamo tuu masela msijenge chuki
Nilichomaanisha kuhusu wakenya nikumkubari the great nasiyo wao kuigiza vzuri, Mkuu light Kanumba angekuwepo Hadi Leo hii industry ingekuwa kubwa Sana na baadhi ya makampuni ya distribution yacnge kufa ila baada ya jamaa kufa na hayo makampuni yalizima sasa huoni umuhimu na uwepo wa jamaa.Chuki kwa marehemu? mtazamo wako huo haki yako mimi nimeongelea mtazamo wangu ila hapo kutuwakilisha Dunia mhhhhh haya bwana maana hata hao wa Nigeria kuigiza hawajui umetaja wa Kenya sasa wa Kenya wanaigiza nini? wakenya zamani walikuwa wazuri kwenye comedy kama kile kipindi cha mahakamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi kwan ni kweli?Wale waigizaji wa Nollywood wengi wana shahada na uigizaji kwao ni vipaji. Hapa kwetu Bongo Movie ni mlango wa kutokea huna cheti chochote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anafanya nini kwa sasa?.Kuna kipindi alikuwa anajichubua sana usoni