Visent Kigosi (Ray) Nyota yake ilikuwa inazunguka kwa Mgongo wa Kanumba. Kifo cha Kanumba kimeleta shida sana kwake

Visent Kigosi (Ray) Nyota yake ilikuwa inazunguka kwa Mgongo wa Kanumba. Kifo cha Kanumba kimeleta shida sana kwake

Ray ana mke?!!si anaishi na chuchu
Chachu hansi alishafukuza, ana ambaye hana jina anajipigia Nile mahari katoto kanaangaikankamekosa matangazo tangu HK Hussein kufilidoka
 
Wana JF

Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na juhudi zake za kukonga roho za watu kutokana na umahili wa kuigiza nyanja zote.

Msindani wake Visent Kigosi almaalufu kama King Ray, alijinasibu kuwa wana uwezo unaofanana katika uigizaji. Mara nyingi tuliona drama za kushindana hata kuonyesha magari mazuri. Kanumba yeye alijikita kwenye mapenzi na wasichana wapya wakati Ray yeye alinasa kwa majimama yenye pesa.

Namkumbuka Dotnata akiwa ni mtu mzima mama wa watoto wawili alikuwa ilimanusura waoane. Dottinata kipindi hicho anawika kwa mapishi bora ya kwenye harusi na masherehe pia na mapambo. Sikui hizi haonekani kabisa. Ray hata matangazo hawampi Richard ya kuandaa mwanae angalau aambulie ustaa bado mbichi lakini naye makosa promo baada ya Ray kutengana na mke wake.

Dotnata hatoisahau deci asilani
 
Huenda sasa hv anapiga hela tu kupitia michongo mingine
 
Wewe ni juha tena juha mkubwa tu.
Alikiba kaanza kuwa star zamani sana wakati wewe upo kwenu chitohori na diamond anauza mitumba tandale huko.Kwa sisi ambao tumekulia mjini na tumeanza kusikiliza mziki kitambo hatuwezi kusema kauli za kiwaki kama hizo.
Wakati alikiba anafanya kazi na wasanii wakubwa wa Afrika na star R Kelly vipi alikuwa sio maarufu.
Ficha ujinga wako
Wewe huna unalojua zaidi ya kuropoka kama bwabwa la zenji.
 
Wewe ni juha tena juha mkubwa tu.
Alikiba kaanza kuwa star zamani sana wakati wewe upo kwenu chitohori na diamond anauza mitumba tandale huko.Kwa sisi ambao tumekulia mjini na tumeanza kusikiliza mziki kitambo hatuwezi kusema kauli za kiwaki kama hizo.
Wakati alikiba anafanya kazi na wasanii wakubwa wa Afrika na star R Kelly vipi alikuwa sio maarufu.
Ficha ujinga wako

bora umetuwakilisha mkuu…!
 
Ray bana hadi blog akaanzisha ili mradi aonekane mwamba kama kanumba. Kifo cha kanumba ni pigo kali kwa ray na vidada alivyovivumbua,vimebakia na umaarufu wa insta tu

Huu ni mfano Domo vs kiba& harmo

Kiba na harmo wamuombee domokaya maisha marefu maana ndie aliyebeba umaarufu wao
Kiba ni maarufu domo akiwa bado mchimba chumvi tu unataka kusema nini
 
Ule msuguano wao wa kishabiki ulikuwa unanogesha tasinia nzima ya bongo movie.
Na ieleweke bila ushindani wa vile mara nyingi kunakuwa hakuna maendeleo ya jambo husika.

Inawezekana pia kama angetangulia Ray, Kanumba naye kwa kiasi fulani angeyumba.

-Kanumba The great ....Ray naye akajiita The Greatest 😅
Mila zetu sio vizuri kumsema marehemu ila hapa simsemi marehemu nasema kazi zake. Kwanza huyu Ray usimweke katika list ya actor sababu hajui wala hatajuwa zero lakini pia marehemu jamani kwa uigizaji upi? ukweli hakuna wala hajatokea muigizaji tunakuwa majina tu sijui the greatest vipimo vipi tumetumia kumpa mtu daraja hili? Ni kelele za media tu ila sio waigizaji hakuna kitu
 
Kanumba alikuwa anajua kuigiza wewe acha kinyongo, yaani Yale maisha yetu yakila siku na vitendo vyetu jamaa alikuwa mnoma Sana

Kama unaamini jamaa alikuwa siyo muigizaji mzuri nenda kaiangalie crazy love aliigiza kama kichaa yaani humo ndani kaigiza kama nikichaa kweli Tena kichaa msomi

Mkuu! Jamaa pamoja na kuabudu Dini ya mashetani lakini alikua so talented yaani aliifanya kazi yake kwa Moyo woote nandiyo maana zilifanya vzuri kazi zake sokoni

Kumbuka Kanumba ndiye alitetuwakilisha Afrika na Dunia
Wakenya walikuwa wanamkubari Sana, pia Kanumba huyu huyu ndiye alituwakilisha Nigeria akafanya film kama cross my Sin na she is my sister.

Pia Kanumba alikuwa siyo mbinafsi kwakuibua vpaji tunaona Watu kama akina Wema, Pancho Mwamba, Patrick na Jenifer na wengine wengi ambao wanafanya vzuri Sana kwasasa.

Kanumba The great tutamkumbuka Daima aliitendea haki tasnia ya bongo movie.

Huu wangu mtazamo tuu masela msijenge chuki
 
Kanumba The great tutamkumbuka Daima aliitendea haki tasnia ya bongo movie ambayo.

Huu wangu mtazamo tuu masela msijenge chuki
Chuki kwa marehemu? mtazamo wako huo haki yako mimi nimeongelea mtazamo wangu ila hapo kutuwakilisha Dunia mhhhhh haya bwana maana hata hao wa Nigeria kuigiza hawajui umetaja wa Kenya sasa wa Kenya wanaigiza nini? wakenya zamani walikuwa wazuri kwenye comedy kama kile kipindi cha mahakamani.
 
Nilichomaanisha kuhusu wakenya nikumkubari the great nasiyo wao kuigiza vzuri, Mkuu light Kanumba angekuwepo Hadi Leo hii industry ingekuwa kubwa Sana na baadhi ya makampuni ya distribution yacnge kufa ila baada ya jamaa kufa na hayo makampuni yalizima sasa huoni umuhimu na uwepo wa jamaa.

Tunampima mtu kuwa ni muigizaji mzuri nipale anapoamua kuuvaa uhalisia, yaani kama unaigiza unalia tuone huyu jamaa analia kweli au unaigiza nikichaa basi tuone unafanya vitendo vya kichaa kweli

Hatumpimi mtu kwa kutumia bunduki au bastora vizuri ndiyo tuamoni ni good octor hapana Bali vitendo vya yule unaemuigiza kama ni chizi, muhuni, mpole, mcheshi,jambazi, mchungaji au shekh ukiwapatia hao watu vitendo vyao hapo hapo tutakuita good actor
Hiyo ndiyo maana halisi ya muigizaji

Kwako mkuu Heijah
 
Wale waigizaji wa Nollywood wengi wana shahada na uigizaji kwao ni vipaji. Hapa kwetu Bongo Movie ni mlango wa kutokea huna cheti chochote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi kwan ni kweli?
 
Back
Top Bottom