Visenti kidogo nimebadilisha mafuta

Naomba nishike kalio lako nione ulaini wa ngozi yako.
Baada ya hapo nitanunua katoni 2 za hayo mafuta nikawagawie wastaafu wenzangu.
Na sisi wazee tunapenda kuwa na baby face tuendelee kula mema ya dunia.
 
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa
 
Hio Wix bei gani!?
 
Nimetulia hapa najipenda.. unabakia natural with glass glows [emoji7]
 
Anhaa ungetuonyeshaa hayo mabadilko ulopata,tunaweza tusipende mafta tukafanya vinginevo
 
Bei gani niwe wakala maana hivi vidude vinawapa mitaji sana slay queen wanafungua fremu kwa fujo Sinza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuanzia kijiweni hadi makaburini
πŸ˜… hapo kuna Kama 95,000 hivi

Njoo nikupe mzigo wa jumla ukapambane naoπŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ˜… hapo kuna Kama 95,000 hivi

Njoo nikupe mzigo wa jumla ukapambane naoπŸ˜…πŸ˜…
Hahahah kwa huu uchumi wa sasa hapana, hizo products zinataka upambanae na specific segment of the market. Labda uwa target mademu wa bank hivi, wadada wa taasisi flani flani zinazoeleweka. Ila watu tu ilimradi ni ngumu.
 
Mawazo yako tu

Wananunua wadada hata hawana kazi
Wanahudumiwa.

Wamama wa nyumbani wateja wangu wazuri tu

Hao wa mabank wanataka mpaka wanunue kwenye malls ndo wanaamini ni original
 
Mawazo yako tu

Wananunua wadada hata hawana kazi
Wanahudumiwa.

Wamama wa nyumbani wateja wangu wazuri tu

Hao wa mabank wanataka mpaka wanunue kwenye malls ndo wanaamini ni original
Wale wa bank mpaka wauziwe Mlimani City ndio wanaamini ni kweli?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umenichekesha sana wabongo tuna tabu sana.
 
Kumbe unakuwaga na swaga Kia's hiki eti umekuwa mtot mlaini HV huwa umeolewaa au nyinnyi ndo mnakoma hapa dsm hamtaki wanaume wa mikoani na unaishi sinza

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mawazo yako tu

Wananunua wadada hata hawana kazi
Wanahudumiwa.

Wamama wa nyumbani wateja wangu wazuri tu

Hao wa mabank wanataka mpaka wanunue kwenye malls ndo wanaamini ni original
Ingekuwa around 40K labda ningepambana ila its about a 100K sijui labda natakiwa nitafute market kwanza then ndio nije kuchukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…