Visenti kidogo nimebadilisha mafuta

Visenti kidogo nimebadilisha mafuta

Naomba nishike kalio lako nione ulaini wa ngozi yako.
Baada ya hapo nitanunua katoni 2 za hayo mafuta nikawagawie wastaafu wenzangu.
Na sisi wazee tunapenda kuwa na baby face tuendelee kula mema ya dunia.
 
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa
 
Mimi ni team wix....
Mwaka wa wa pili sasa....
Hatariiii ngozi imeglow balaa...
Natumia kuanzia sabuni mpaka sunscreen ngozi full kuteleza....
Nikifanya scrub ndo balaa full kuteleza kunukia utamu...
Katika bidha zote yanayonikosha ni hayo mafuta ya maji yananukia utamu balaa...
Yaani harufu fulani hivi ya kinyamwezi...
Hii picha nilimtumia leo bint mmoja nasoma nae maana alitaka kujua napaka nini...
Hio Wix bei gani!?
 
IMG_1142.jpg

d7bbf11e-8669-41ef-a926-ec217f9b5316.jpg

Nimetulia hapa najipenda.. unabakia natural with glass glows [emoji7]
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa hapo juu,

Baada ya kupata visenti kidogo nimeona nibadili mafuta ya kupaka.

Na hii ni baada ya kuona mwenzangu aliyezeeka uso kawa kijana ghafla.pia ngozi imekuwa kama mtoto.

Nikamuuliza unapaka nini akasema OLAY CREAM toka UK inauzwa Lavish Glow wapo Mbezi Salasala akanipa namba, ndio mafuta mazuri, yapo ya mchana na usiku bei akanitonya, basi mtoto mkali mimi nikaona nijilipue.

Akaniambia ni mafuta ya ngozi za kawaida yani normal skin, bei elfu 50.

Nikaanza kupaka mtoto mie, jamani nimekuwa mlaini hatareeee...

Nikaona nisiwe mchoyo niwaambie na nyie.
Anhaa ungetuonyeshaa hayo mabadilko ulopata,tunaweza tusipende mafta tukafanya vinginevo
 
Bei gani niwe wakala maana hivi vidude vinawapa mitaji sana slay queen wanafungua fremu kwa fujo Sinza 😂😂😂 kuanzia kijiweni hadi makaburini
😅 hapo kuna Kama 95,000 hivi

Njoo nikupe mzigo wa jumla ukapambane nao😅😅
 
😅 hapo kuna Kama 95,000 hivi

Njoo nikupe mzigo wa jumla ukapambane nao😅😅
Hahahah kwa huu uchumi wa sasa hapana, hizo products zinataka upambanae na specific segment of the market. Labda uwa target mademu wa bank hivi, wadada wa taasisi flani flani zinazoeleweka. Ila watu tu ilimradi ni ngumu.
 
Mawazo yako tu

Wananunua wadada hata hawana kazi
Wanahudumiwa.

Wamama wa nyumbani wateja wangu wazuri tu

Hao wa mabank wanataka mpaka wanunue kwenye malls ndo wanaamini ni original
 
Mawazo yako tu

Wananunua wadada hata hawana kazi
Wanahudumiwa.

Wamama wa nyumbani wateja wangu wazuri tu

Hao wa mabank wanataka mpaka wanunue kwenye malls ndo wanaamini ni original
Wale wa bank mpaka wauziwe Mlimani City ndio wanaamini ni kweli?😂😂😂 Umenichekesha sana wabongo tuna tabu sana.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa hapo juu,

Baada ya kupata visenti kidogo nimeona nibadili mafuta ya kupaka.

Na hii ni baada ya kuona mwenzangu aliyezeeka uso kawa kijana ghafla.pia ngozi imekuwa kama mtoto.

Nikamuuliza unapaka nini akasema OLAY CREAM toka UK inauzwa Lavish Glow wapo Mbezi Salasala akanipa namba, ndio mafuta mazuri, yapo ya mchana na usiku bei akanitonya, basi mtoto mkali mimi nikaona nijilipue.

Akaniambia ni mafuta ya ngozi za kawaida yani normal skin, bei elfu 50.

Nikaanza kupaka mtoto mie, jamani nimekuwa mlaini hatareeee...

Nikaona nisiwe mchoyo niwaambie na nyie.
Kumbe unakuwaga na swaga Kia's hiki eti umekuwa mtot mlaini HV huwa umeolewaa au nyinnyi ndo mnakoma hapa dsm hamtaki wanaume wa mikoani na unaishi sinza

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mawazo yako tu

Wananunua wadada hata hawana kazi
Wanahudumiwa.

Wamama wa nyumbani wateja wangu wazuri tu

Hao wa mabank wanataka mpaka wanunue kwenye malls ndo wanaamini ni original
Ingekuwa around 40K labda ningepambana ila its about a 100K sijui labda natakiwa nitafute market kwanza then ndio nije kuchukua.
 
Back
Top Bottom