Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
- Thread starter
- #41
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenzako Kiranja Mkuu anaoga mkojo asizeeke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenzako Kiranja Mkuu anaoga mkojo asizeeke
Njoo sebuleni bhana siriazNimekuja boss
Shida inachagua kuna wengi tu imewagomea wameishia kugawaNasikia nzuri sana
Mithali 6:32Naomba nishike kalio lako nione ulaini wa ngozi yako.
Baada ya hapo nitanunua katoni 2 za hayo mafuta nikawagawie wastaafu wenzangu.
Na sisi wazee tunapenda kuwa na baby face tuendelee kula mema ya dunia.
so midume kubinuana ni fureshi l, hii baibo hii !!!!!!Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa
Dawa ya ngozi ni chakula bora ,Ukila chakula bora lazima ungae t u.Mafuta ya kupaka ni nyongeza tu.
Hio Wix bei gani!?Mimi ni team wix....
Mwaka wa wa pili sasa....
Hatariiii ngozi imeglow balaa...
Natumia kuanzia sabuni mpaka sunscreen ngozi full kuteleza....
Nikifanya scrub ndo balaa full kuteleza kunukia utamu...
Katika bidha zote yanayonikosha ni hayo mafuta ya maji yananukia utamu balaa...
Yaani harufu fulani hivi ya kinyamwezi...
Hii picha nilimtumia leo bint mmoja nasoma nae maana alitaka kujua napaka nini...
Kwahio mna enzi na mtoto mlaini😂😂😂Nimekumbuka tu enzi zetu zile
Bei gani niwe wakala maana hivi vidude vinawapa mitaji sana slay queen wanafungua fremu kwa fujo Sinza 😂😂😂 kuanzia kijiweni hadi makaburiniView attachment 2335887
View attachment 2335892
Nimetulia hapa najipenda.. unabakia natural with glass glows [emoji7]
Anhaa ungetuonyeshaa hayo mabadilko ulopata,tunaweza tusipende mafta tukafanya vinginevoHabari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Baada ya kupata visenti kidogo nimeona nibadili mafuta ya kupaka.
Na hii ni baada ya kuona mwenzangu aliyezeeka uso kawa kijana ghafla.pia ngozi imekuwa kama mtoto.
Nikamuuliza unapaka nini akasema OLAY CREAM toka UK inauzwa Lavish Glow wapo Mbezi Salasala akanipa namba, ndio mafuta mazuri, yapo ya mchana na usiku bei akanitonya, basi mtoto mkali mimi nikaona nijilipue.
Akaniambia ni mafuta ya ngozi za kawaida yani normal skin, bei elfu 50.
Nikaanza kupaka mtoto mie, jamani nimekuwa mlaini hatareeee...
Nikaona nisiwe mchoyo niwaambie na nyie.
😅 hapo kuna Kama 95,000 hiviBei gani niwe wakala maana hivi vidude vinawapa mitaji sana slay queen wanafungua fremu kwa fujo Sinza 😂😂😂 kuanzia kijiweni hadi makaburini
Hahahah kwa huu uchumi wa sasa hapana, hizo products zinataka upambanae na specific segment of the market. Labda uwa target mademu wa bank hivi, wadada wa taasisi flani flani zinazoeleweka. Ila watu tu ilimradi ni ngumu.😅 hapo kuna Kama 95,000 hivi
Njoo nikupe mzigo wa jumla ukapambane nao😅😅
Mawazo yako tuHahahah kwa huu uchumi wa sasa hapana, hizo products zinataka upambanae na specific segment of the market. Labda uwa target mademu wa bank hivi, wadada wa taasisi flani flani zinazoeleweka. Ila watu tu ilimradi ni ngumu.
Wale wa bank mpaka wauziwe Mlimani City ndio wanaamini ni kweli?😂😂😂 Umenichekesha sana wabongo tuna tabu sana.Mawazo yako tu
Wananunua wadada hata hawana kazi
Wanahudumiwa.
Wamama wa nyumbani wateja wangu wazuri tu
Hao wa mabank wanataka mpaka wanunue kwenye malls ndo wanaamini ni original
Kumbe unakuwaga na swaga Kia's hiki eti umekuwa mtot mlaini HV huwa umeolewaa au nyinnyi ndo mnakoma hapa dsm hamtaki wanaume wa mikoani na unaishi sinzaHabari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Baada ya kupata visenti kidogo nimeona nibadili mafuta ya kupaka.
Na hii ni baada ya kuona mwenzangu aliyezeeka uso kawa kijana ghafla.pia ngozi imekuwa kama mtoto.
Nikamuuliza unapaka nini akasema OLAY CREAM toka UK inauzwa Lavish Glow wapo Mbezi Salasala akanipa namba, ndio mafuta mazuri, yapo ya mchana na usiku bei akanitonya, basi mtoto mkali mimi nikaona nijilipue.
Akaniambia ni mafuta ya ngozi za kawaida yani normal skin, bei elfu 50.
Nikaanza kupaka mtoto mie, jamani nimekuwa mlaini hatareeee...
Nikaona nisiwe mchoyo niwaambie na nyie.
Ingekuwa around 40K labda ningepambana ila its about a 100K sijui labda natakiwa nitafute market kwanza then ndio nije kuchukua.Mawazo yako tu
Wananunua wadada hata hawana kazi
Wanahudumiwa.
Wamama wa nyumbani wateja wangu wazuri tu
Hao wa mabank wanataka mpaka wanunue kwenye malls ndo wanaamini ni original