Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Umeleta kijanjajanja ili ukwepe tozo, okay lipia tangazo kwa Melo inatosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Baada ya kupata visenti kidogo nimeona nibadili mafuta ya kupaka.
Na hii ni baada ya kuona mwenzangu aliyezeeka uso kawa kijana ghafla.pia ngozi imekuwa kama mtoto.
Nikamuuliza unapaka nini akasema OLAY CREAM toka UK inauzwa Lavish Glow wapo Mbezi Salasala akanipa namba, ndio mafuta mazuri, yapo ya mchana na usiku bei akanitonya, basi mtoto mkali mimi nikaona nijilipue.
Akaniambia ni mafuta ya ngozi za kawaida yani normal skin, bei elfu 50.
Nikaanza kupaka mtoto mie, jamani nimekuwa mlaini hatareeee...
Nikaona nisiwe mchoyo niwaambie
Hebu nikuone😂Mimi ni team wix....
Mwaka wa wa pili sasa....
Hatariiii ngozi imeglow balaa...
Natumia kuanzia sabuni mpaka sunscreen ngozi full kuteleza....
Nikifanya scrub ndo balaa full kuteleza kunukia utamu...
Katika bidha zote yanayonikosha ni hayo mafuta ya maji yananukia utamu balaa...
Yaani harufu fulani hivi ya kinyamwezi...
Hii picha nilimtumia leo bint mmoja nasoma nae maana alitaka kujua napaka nini...
Nasikia nzuri sanaMimi ni team wix....
Mwaka wa wa pili sasa....
Hatariiii ngozi imeglow balaa...
Natumia kuanzia sabuni mpaka sunscreen ngozi full kuteleza....
Nikifanya scrub ndo balaa full kuteleza kunukia utamu...
Katika bidha zote yanayonikosha ni hayo mafuta ya maji yananukia utamu balaa...
Yaani harufu fulani hivi ya kinyamwezi...
Hii picha nilimtumia leo bint mmoja nasoma nae maana alitaka kujua napaka nini...
Hatariiii.Nasikia nzuri sana
Nimekumbuka tu enzi zetu zileWacheka nini
Hebu ukuje basi unielezee vizuri huenda nikakuungishaHatariiii.
Hii comment imenichekesha kinyama!kuwa serious na Maisha plz
Hadi umentamanisha. Na wenye ngozi kavu yanatufaa?Mimi ni team wix....
Mwaka wa wa pili sasa....
Hatariiii ngozi imeglow balaa...
Natumia kuanzia sabuni mpaka sunscreen ngozi full kuteleza....
Nikifanya scrub ndo balaa full kuteleza kunukia utamu...
Katika bidha zote yanayonikosha ni hayo mafuta ya maji yananukia utamu balaa...
Yaani harufu fulani hivi ya kinyamwezi...
Hii picha nilimtumia leo bint mmoja nasoma nae maana alitaka kujua napaka nini...
Mwenzako Kiranja Mkuu anaoga mkojo asizeekeHabari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Baada ya kupata visenti kidogo nimeona nibadili mafuta ya kupaka.
Na hii ni baada ya kuona mwenzangu aliyezeeka uso kawa kijana ghafla.pia ngozi imekuwa kama mtoto.
Nikamuuliza unapaka nini akasema OLAY CREAM toka UK inauzwa Lavish Glow wapo Mbezi Salasala akanipa namba, ndio mafuta mazuri, yapo ya mchana na usiku bei akanitonya, basi mtoto mkali mimi nikaona nijilipue.
Akaniambia ni mafuta ya ngozi za kawaida yani normal skin, bei elfu 50.
Nikaanza kupaka mtoto mie, jamani nimekuwa mlaini hatareeee...
Nikaona nisiwe mchoyo niwaambie na nyie.