Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Na ofisini kwao vimeshagawiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, lakini pia ifikie wakati walimu wajiweke katika hali ya kujitafutia vifaa vya aina hiyo bila kusubiri mabaki ya sensa.Hizi ipad kwa mwalimu zina msaada mkubwa sana ikiwemo kudownload vitabu na kujisomea vitu mbalimbali mtandaoni. Ili kujiweka sawa kwa ajili ya kufundisha.
Kujitaftia kwani shule ni mali zao binafsi. Wewe mfano ni engineer unaambiwa ununue spades, mwiko za kwako ili ukaje ge jengo la serikali utafanya hivoSawa, lakini pia ifikie wakati walimu wajiweke katika hali ya kujitafutia vifaa vya aina hiyo bila kusubiri mabaki ya sensa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa, mwalimu hadi leo hajui kutumia simu janja na yupo yupo tu. Akiambiwa atume document fulani kwa manufaa yake, hajui ku scarn na hana hata simu janja.Kujitaftia kwani shule ni mali zao binafsi. Wewe mfano ni engineer unaambiwa ununue spades, mwiko za kwako ili ukaje ge jengo la serikali utafanya hivo
Ni huko kwenu mkuu Ila huku hakuna kitu kama hicho .Mkuu si vizuri kupotosha,Mimi ni mwalimu wa darasa la form One A nimepata,na kila mwalimu shuleni kwangu kapata bila kujali kitengo
Agho mahelu!!!!Sasa, mwalimu hadi leo hajui kutumia simu janja na yupo yupo tu. Akiambiwa atume document fulani kwa manufaa yake, hajui ku scarn na hana hata simu janja.
Utasikia tu naomba unisaidie. Mwalimu wa leo huyo.
Asubiri kishikwambi?
Simu janja ni sawa na kishikwambi, akiwa nayo anaweza kutafuta maarifa zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm sio mwalimu mkuu but namchukias sana mtu anayemdharau mwalimu hivi wewe hujawahi kusoma. Nan kakufundisha kuandika kusoma na kuhesabu. Kuna watu akili zao hazipo kichwani zipo somewhere else. Unaona kujua kutumia smart ndo ujanja sio
Mkuu si vizuri kupotosha,Mimi ni mwalimu wa darasa la form One A nimepata,na kila mwalimu shuleni kwangu kapata bila kujali kitengo
[emoji23]Ila walimu bana, CCM huwa inawanunua kwa bei nafuu mno!
Mimi mpk nimepigiwa simu nkakifate mbona vimebaki viwili tu vya kwetuKama ww ni mwalimu just ulizia tu utapata majibu kuna jukwaa la walimu humu ulizia
Kweli kabisa. Huku kwetu shule za msingi zimepangiwa kupata vishikwambi vinne tu.Ni huko kwenu mkuu Ila huku hakuna kitu kama hicho .
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sijamdharau mwalimu. Ni ushauri tu. Kuna baadhi ya walinu wako hivyo.Mm sio mwalimu mkuu but namchukias sana mtu anayemdharau mwalimu hivi wewe hujawahi kusoma. Nan kakufundisha kuandika kusoma na kuhesabu. Kuna watu akili zao hazipo kichwani zipo somewhere else. Unaona kujua kutumia smart ndo ujanja sio
Sio kweli kuwa kila mwalimu atapata kishikwambi,kuna baadhi ya halmashauri nazo ni chache walipewa vishikwambi ,angalau vinavyotosheleza kwa kila mwalimu lakini halmashauri nyingi kuna upungufu mkubwa wa ugawaji wa hivyo vishikwambi ,mkeka upo unaonyesha ugawaji wa vishikwambi kwa kila halmashauri ya wilaya na upungufu wake,kuna rafiki yangu yupo shule moja ipo Wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida wao wamepewa vishikwambi kumi(10)wakati walimu wapo ishirini na mbili(22)Mkuu si vizuri kupotosha,Mimi ni mwalimu wa darasa la form One A nimepata,na kila mwalimu shuleni kwangu kapata bila kujali kitengo
Weka huo mkeka mkuuSio kweli kuwa kila mwalimu atapata kishikwambi,kuna baadhi ya halmashauri nazo ni chache walipewa vishikwambi ,angalau vinavyotosheleza kwa kila mwalimu lakini halmashauri nyingi kuna upungufu mkubwa wa ugawaji wa hivyo vishikwambi ,mkeka upo unaonyesha ugawaji wa vishikwambi kwa kila halmashauri ya wilaya na upungufu wake,kuna rafiki yangu yupo shule moja ipo Wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida wao wamepewa vishikwambi kumi(10)wakati walimu wapo ishirini na mbili(22)
@Antonnia come this waySio kweli kuwa kila mwalimu atapata kishikwambi,kuna baadhi ya halmashauri nazo ni chache walipewa vishikwambi ,angalau vinavyotosheleza kwa kila mwalimu lakini halmashauri nyingi kuna upungufu mkubwa wa ugawaji wa hivyo vishikwambi ,mkeka upo unaonyesha ugawaji wa vishikwambi kwa kila halmashauri ya wilaya na upungufu wake,kuna rafiki yangu yupo shule moja ipo Wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida wao wamepewa vishikwambi kumi(10)wakati walimu wapo ishirini na mbili(22)