Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

Hakuna kisima cha mafuta Kigamboni na lake oil hawajawahi kuwa na kisima cha mafuta Tanzania hii, labda useme matenki ya mafuta ya lake oil.

Hizi shule za kusomea ujinga ni majanga.
kasoma english medium huyo msamehe hajui tofauti ya tenki na kisima kwa kiswahili
 
Yaliyokuwa yakiungua ni mafuta sio tenki la gari.Mafuta yaliungu tenki kwa kuwa ni la chuma sio mbao halikuungua
1) tunasema tank limeshika moto nakama matanki yana Code namba mf tank A tank B... Tunasema tank C limeshika moto linaungua japo chemically yanaungua mafuta professionally tunasema tank linaungua, ikija zimamoto atauliza tank gani linaungua unasema Tank C kwaakiri zako na wewe utamjibu “yanaungua mafuta sio tank”

Hayo ni matumuzi ya lugha tu

2)Aliyekwambia chuma akiungui ni nani njoo hapa IRON STILL mbagala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi mpango mkakati wa US ku destabilize jiwe government!kwa kupandisha bei ya mafuta!!!CCM CHUKUENI HATUA!JIWE MUST GO!!!
 
is that a crime
Hapana ni uzembe wa kutokuwa na vifaa vya kutosha kukabili moto hasa maeneo kama hayo. Wakajifunze Mtwara kwenye visima vya gesi kule.

Serikali iwekeze kwenye jeshi la zima moto. Tulishaandika humu kuwa ni jeshi lililosahaulika. Jamaa wapo vizuri theory,shida vitendea kazi.

Kuna sehemu haitimizi wajibu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom