Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Sasa mzee unataka kusema moderators ni wajinga hadi wameacha title ya "visima vya lake oil"?
.
Au wewe ukisikia kisima cha mafuta moja kwa mbili unakiona kiko kama kisima cha maji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mzee unataka kusema moderators ni wajinga hadi wameacha title ya "visima vya lake oil"?
Unazungumzia uislamu upi wa kugonoka au?Huujuwi Uislam wewe, kaa kimya.
Natamani kujua alijibuje hili Mkuu FF!Acha kujifanya mjuaji wakati kichwani ni upepo.
Ati Tanzania hakuna Visima vya mafuta. Sijui umetumia Criteria ipi kuwasilisha upuuzi huu. Unajua maana ya kisima? Unajua maana ya "Tank"
Yaani kama kuna visima vya Maji iweje kusiwepo na Visima vya Mafuta?
Najua mawazo yako Mgando utasema visima vya Mafuta ni vile vilivyopo Uarabuni. Ili ujue kichwa chako sio kizima.
Kisima cha mafuta hata wewe unaweza kuwa macho hapo nyumbani. Unachimba kisima cha kawaida kisha unayahifadhi mafuta humo ndani.
Sheli( Nafahamu ni kampuni ya mafuta) lakini kwa Watanzania walisema Sheli wanalenga vituo vya mafuta. Hivyo nitatumia neno hilo hilo kurejelea maana ya kituo cha mafuta. Sheli nyingi Tanzania zinavisima vya Mafita sasa wewe sijui unapataje uhodari kusema kigambamo hakuna kisima cha mafuta tena ujinga wako ukakupeleka mbali zaidi kuitaja Tanzania ati haina visima vya mafuta.
Labda uje na maana mpya ya Istilahi "Kisima" na hiyo ya "Tank"
Haya Wasomaji watajua nani aliyesomea ujinga. Kati ya mtoa post na wewe Mvamia post.
Kwahiyo mkuu na wewe unaamini kabisa kwamba kilichopo pale Lake Oil ni Visima vya Mafuta?!Sasa mzee unataka kusema moderators ni wajinga hadi wameacha title ya "visima vya lake oil"?
.
Au wewe ukisikia kisima cha mafuta moja kwa mbili unakiona kiko kama kisima cha maji?
Pole sana, dua lako ovu limegonga ukuta. Wanajeshi wetu wa kupambana na moto wameuzima saa sita usiku.Hawana vifaa vya kutosha kuzima moto wa mafuta. Tusubiri ndege zikileta faida tuitumie kununua hivyo vifaa.
Yes, kungekuwa hakuna mods wangeshatoa hiyo neno "KISIMA"Kwahiyo mkuu na wewe unaamini kabisa kwamba kilichopo pale Lake Oil ni Visima vya Mafuta?!
Kisima=well= kuna chemichemi ya maji ama mafuta ama gasiKwahiyo mkuu na wewe unaamini kabisa kwamba kilichopo pale Lake Oil ni Visima vya Mafuta?!
Unamanisha nini hapa?!Yes, kungekuwa hakuna mods wangeshatoa hiyo neno "KISIMA"
Hao jamaa wanaosema vile ni visima bhangi ndo tatzoYes, kungekuwa hakuna mods wangeshatoa hiyo neno "KISIMA"
.
Types of wellsEdit
A natural gas well in the southeast Lost Hills Field, California, US.
Raising the derrick
Oil extraction in Boryslav in 1909
Burning of natural gases at an oil drilling site, presumably at Pangkalan Brandan, East Coast of Sumatra - circa 1905
Kingambonino kuna visima vya Lake oilUnamanisha nini hapa?!
Hapana, ukishaweka ile miundo mbinu, iwe mafuta au maji, msamiati unabadilika na kuwa matangi ya mafuta, au matangi ya maji!!Kisima=well= kuna chemichemi ya maji ama mafuta ama gasi
Shimo la ardhini= pit= lakini kwa kiswali chetu hatusemi shimo la mafuta, tunasema kisims cha mafuta.
Kisima ni nini?
Hakuna kisima cha mafuta Kigamboni na lake oil hawajawahi kuwa na kisima cha mafuta Tanzania hii, labda useme matenki ya mafuta ya lake oil.
Hizi shule za kusomea ujinga ni majanga.
Kisima ni nini?
Tunaitaje kwa kiingereza?
Je vilivyopo pale nini nini jina lake matenki yalosimama juu, je mafuta yalohifadhiwa chini kunaitwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukariri.Unajua hata kwenye vituo vya sheli mafuta wanahifadhi chini??? So vile navyo ni visima?????? Acheni bhangi zile ni sehemu wanahifadhi mafuta tu kisima means kinazalisha mafutaaa toka ardhini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapenda sifa...ukweli ni kuwa gari ya kwanza kufika ni ya TIPER na ndio walifanya kazi kubwa..baadae gari iliyokuja na form ni ya Airport...wengine walkuwa watazamaji tu...askari alijitolea kwenda kufunga valve baada ya moto kuzimwa kwa kiasi kikubwa sana...Hongera jeshi letu. Asante kwa kutimiza wajibu.
Ujajibu swali unashambuliaUnajua hata kwenye vituo vya sheli mafuta wanahifadhi chini??? So vile navyo ni visima?????? Acheni bhangi zile ni sehemu wanahifadhi mafuta tu kisima means kinazalisha mafutaaa toka ardhini
Sent using Jamii Forums mobile app
Tank kwa Kiswahili linaitwaje? Naona kama vile hajakosea KISIMA NDO TENKI MAMAHakuna kisima cha mafuta Kigamboni na lake oil hawajawahi kuwa na kisima cha mafuta Tanzania hii, labda useme matenki ya mafuta ya lake oil.
Hizi shule za kusomea ujinga ni majanga.
Lakini kutakapo kuwa na vifaa vya kisasa baada ya kununuliwa na faida ya biashara ya ndege moto kama huo utazimwa kirahisi zaidi badala ya masaa mengi kama ya janaPole sana, dua lako ovu limegonga ukuta. Wanajeshi wetu wa kupambana na moto wameuzima saa sita usiku.