Kumejitokeza tabia ambayo baadhi ya wanawake hawapendi kusikia ukweli unaowakosoa. Mara nyingi hupokea vizuri maneno yanayowapendeza kuliko ukweli unaowaweka kwenye hali ya kujitafakari.
Unapomkosoa mwanamke kuhusu kosa au uzembe fulani, wakati mwingine anaweza kuchukia au kukasirika sana. Hata kama moyoni anajua kuwa kuna ukweli katika maneno hayo, mara nyingi hukataa kuukubali mara moja. Ni baada ya muda kupita ndipo anaweza kuanza kutambua kuwa kulikuwa na hoja ndani ya ukosoaji wa huyo MTU.
Kuna hii changamoto ya baadhi ya wanawake wanapotumia hoja ya asili kama sababu ya kujitetea au kujiona wako juu ya ukosoaji.
Mfano hoja ya mwanamke ndiye anayebeba mimba kwa miezi tisa na kupitia uchungu wa kujifungua, jambo hili ni la kawaida sababu ni asili na vile vile halimo kwenye UWEZO wa mwanamke kwakuwa hajui atajifungua salama! au wakati sahihi vipi mimba ikiharibika, je Kuna umahiri? .
Kwahiyo ili ni jambo la kimaumbile/asili japo lina thamani kubwa katika maisha ya binadamu.
Tukija kwenye swala la majukumu ni kwamba majukumu ya asili pekee hayawezi kuwa kigezo cha kuhalalisha uzembe au ukosefu wa mchango katika maendeleo ya familia au jamii. Kuzaa ni sehemu ya maumbile/asili ya binadamu, lakini maendeleo ya maisha yanahitaji zaidi ya hilo, yanahitaji juhudi, uwajibikaji, na mchango kwa vitendo.
Katika familia nyingi, wanaume huchukuliwa kuwa na wajibu mkubwa wa kufanya kazi na kuleta maendeleo ya kiuchumi.
kama mwanaume anatarajiwa kufanya kazi na kuleta maendeleo kwa familia, kwa nini mwanamke asiwe tayari pia kuchangia kwa uwezo wake bila kujificha nyuma ya visingizio vya maumbile/asili?
Sipingi umuhimu wa asili ya mwanamke, bali nauliza kama ni sahihi kutumia maumbile na jukumu la asili kama kisingizio cha kutokuchangia kikamilifu katika maendeleo ya familia na jamii.