Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Hizo hua ni dalili za mwanaume kutamani kua mwanamke yaani anaumia akiona mwanamke wake anabaki nyumbani kulea watoto na yeye anaenda kusulubika kwa kazi ngumu, anatamani yeye angekua mwanamke ili abakishwe nyumbani bila kujua huyo anayemuona golikipa ndie anayemlelea watoto wake na kusaidia mambo ya nyumbani yakae sawa na ndie anayepokea wageni wake wakija kumtembelea,Duhh mkubwa, hivi waga unaandika kutoka moyoni au unaandika tu mawazo yako kama kujifurahisha na kufarahisha wenye mtazamo kama wako?🤔
Nichangie bills? Utamaduni wa ulaya unauleta huku? Nimeoa mimi
Nichangie bills?
Hizi ni wishful thinking,fantasy and unreaslistic ideas u name it!
Nadhani wazee wangeirudisha Jando, wavulana wa siku hizi wanaukimbia sana uvulana wao wanapenda kushindana na wanawake kwenye kila kitu hadi kulelewa wenyewe wanawaita mishangazi.