Visingizio vya asili kwa baadhi ya wanawake katika suala la ukosoaji na maendeleo

Yaan hata kama nikijijini unakuta mama abebe jembe mzigo wa kuni mtoto mgongoni mwanaume yeye anatembeza kende na baado huyo mama akifika apike afanye kazi zote bado anaonekana hana mchango wowote woiii
The real gold digger ni yule ambaye anataka mwanamke azae, alee watoto, azalishe mali, achangie kipato, ampe k kila anapohitaji, akiichoka akacheat, akikamatwa asamehewe…!

Yooo! reverse role ya mwanaume uone, utasikia kuprovide and to protect lmao! haya basi mna provide? Napo kasheshe bana mi sitaki 😅
 
Yani utafagia mbolea ya ng'ombe , jembe utashika , majani ya ng'ombe utakata , maziwa utakamua , ndio maana wazee wetu walishauri tuoe kwenye jamii zetu watu walio lelewa hivyo, sisi ni ubishi wetu tu ndio maana malalamishi yamezidi.
 
The real gold digger ni yule ambaye anataka mwanamke azae, alee watoto, azalishe mali, achangie kipato, ampe k kila anapohitaji, akiichoka akacheat, akikamatwa asamehewe…!

Yooo! reverse role ya mwanaume uone, utasikia kuprovide and to protect lmao! haya basi mna provide? Napo kasheshe bana mi sitaki 😅
Mi mwenyewe sitaki I'm single and happy 🥂
Utasikia mwanamke ku cheat ni jinai
Mwanaume ku cheat ni rijali
Wanatamani hata ukimfumania
Umwangukie miguuni mume wangu nisamehe kwa kukufatilia 😒
 
Uzuri mmoja kuingia na kutoka kwenye ndoa ni machaguo hauwezi kaa single mpaka kufa wala hakuna wa kukushikia panga
 
Mi mwenyewe sitaki I'm single and happy 🥂
Utasikia mwanamke ku cheat ni jinai
Mwanaume ku cheat ni rijali
Wanatamani hata ukimfumania
Umwangukie miguuni mume wangu nisamehe kwa kukufatilia 😒
Acha ukorofi, olewa isitirike, subiri ufike 30 uone 🤣 As if 30 ni death sentence.

Mimi kiukweli mambo mengi sana siyaelewi kuhusu binadamu, nipo nimekaa paleee!
 
Miaka yote wanawake wa kiafrika ndio walezi wa familia hata hao wanaochongoa midomo hapa wamesaidiwa pakubwa na mama zao na ilihali baba zao walikuwepo ndani wamejaa teleee
Kwenye familia huwa kuna mgawanyo wa majukumu tu , mama ana majukumu haya na baba anamajukumu mengi na sio kwamba baba walikuwepo tu
 
Acha ukorofi, olewa isitirike, subiri ufike 30 uone 🤣 As if 30 ni death sentence.

Mimi kiukweli mambo mengi sana siyaelewi kuhusu binadamu, nipo nimekaa paleee!
Baado kidogo nifike 30 😃 kwisha mimi
Unasema ndoa ? niolewe ? hayo mahusiano tu bila ndoa siyawezi yananigaragaza kifo cha mende
Je ndoa mahi😆
Shida nina ugonjwa wa kupenda napenda vibayaaa naweza kumla mtu shaba ya kicwa 👈 so sijihusishi na mahusiano nafanya issue zingine
 
Kuna namna hauna majukumu na vipaumbele vyako ndio maana unapenda kama goigoi 🤔
 
Back
Top Bottom