min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ukiacha kuolewa kwa kukwepa kuumizwa kisa unapenda mno , utakua kwenye gereza la malalamishi daimasasa kwann goi goi baba angu😢
Si ndio maana nikaacha ili ni focus na mambo mengine
Ukiacha kuolewa kwa kukwepa kuumizwa kisa unapenda mno , utakua kwenye gereza la malalamishi daimasasa kwann goi goi baba angu😢
Si ndio maana nikaacha ili ni focus na mambo mengine
I am 32….. Mwaya 30s with money, no kid and husband feels exactly like 19.Baado kidogo nifike 30 😃 kwisha mimi
Unasema ndoa ? niolewe ? hayo mahusiano tu bila ndoa siyawezi yananigaragaza kifo cha mende
Je ndoa mahi😆
Shida nina ugonjwa wa kupenda napenda vibayaaa naweza kumla mtu shaba ya kicwa 👈 so sijihusishi na mahusiano nafanya issue zingine
Usichangie bills unataka uchangie nini katika hiyo 50/50?Duhh mkubwa, hivi waga unaandika kutoka moyoni au unaandika tu mawazo yako kama kujifurahisha na kufarahisha wenye mtazamo kama wako?🤔
Nichangie bills? Utamaduni wa ulaya unauleta huku? Nimeoa mimi
Nichangie bills?
Hizi ni wishful thinking,fantasy and unreaslistic ideas u name it!
Namlalamikia nani wakati nipo mwenyewe? kama ni huku Jf ni just story tuUkiacha kuolewa kwa kukwepa kuumizwa kisa unapenda mno , utakua kwenye gereza la malalamishi daima
Automaticall utajikuta umekua mwanaharakati kumbe ni traumaNamlalamikia nani wakati nipo mwenyewe? kama ni huku Jf ni just story tu
Mimi nina miaka 27, mwaka huu itafika 28 Kwa sasa sina mahusiano ya kimapenzi na honestly sihitaji, and I’m okay with that Ila sometimes usiku huwa mrefu sana Hongera kwako kwa kuwa na hubby, enjoy your moments togetherI am 32….. Mwaya 30s with no kid and husband feels exactly like 19.
Wasikudanganye…. mimi i was just being sarcastic.
But… there’s always but. mi pia napenda mapenzi na nampenda
Amini utakavyo 🤝Automaticall utajikuta umekua mwanaharakati kumbe ni trauma
Hiyo sio imani ni jambo ambalo lipo kwenye jamiiAmini utakavyo 🤝
Kwamba lazima usipoolewa upate trauma? kwan lazima wote tuwe na mitazamo sawa?Hiyo sio imani ni jambo ambalo lipo kwenye jamii
Sina habi, nina mahi-diha.Mimi nina miaka 27, mwaka huu itafika 28 Kwa sasa sina mahusiano ya kimapenzi na honestly sihitaji, and I’m okay with that Ila sometimes usiku huwa mrefu sana Hongera kwako kwa kuwa na hubby, enjoy your moments together
Nimecheka kwa sauti😁Sina habi, nina mahi-diha.
Wapi nimesema usipo olewa lazima upate trauma?Kwamba lazima usipoolewa upate trauma? kwan lazima wote tuwe na mitazamo sawa?
Ndoa sio lazima ✅️
Ataoa anaetaka ✅️
Ataolewa anaetaka ✅️
Simple like that 👌
Tuko tayari kuchangia, shida inakuja kwenye double standards.Kumejitokeza tabia ambayo baadhi ya wanawake hawapendi kusikia ukweli unaowakosoa. Mara nyingi hupokea vizuri maneno yanayowapendeza kuliko ukweli unaowaweka kwenye hali ya kujitafakari.
Unapomkosoa mwanamke kuhusu kosa au uzembe fulani, wakati mwingine anaweza kuchukia au kukasirika sana. Hata kama moyoni anajua kuwa kuna ukweli katika maneno hayo, mara nyingi hukataa kuukubali mara moja. Ni baada ya muda kupita ndipo anaweza kuanza kutambua kuwa kulikuwa na hoja ndani ya ukosoaji wa huyo MTU.
Kuna hii changamoto ya baadhi ya wanawake wanapotumia hoja ya asili kama sababu ya kujitetea au kujiona wako juu ya ukosoaji.
Mfano hoja ya mwanamke ndiye anayebeba mimba kwa miezi tisa na kupitia uchungu wa kujifungua, jambo hili ni la kawaida sababu ni asili na vile vile halimo kwenye UWEZO wa mwanamke kwakuwa hajui atajifungua salama! au wakati sahihi vipi mimba ikiharibika, je Kuna umahiri? .
Kwahiyo ili ni jambo la kimaumbile/asili japo lina thamani kubwa katika maisha ya binadamu.
Tukija kwenye swala la majukumu ni kwamba majukumu ya asili pekee hayawezi kuwa kigezo cha kuhalalisha uzembe au ukosefu wa mchango katika maendeleo ya familia au jamii. Kuzaa ni sehemu ya maumbile/asili ya binadamu, lakini maendeleo ya maisha yanahitaji zaidi ya hilo, yanahitaji juhudi, uwajibikaji, na mchango kwa vitendo.
Katika familia nyingi, wanaume huchukuliwa kuwa na wajibu mkubwa wa kufanya kazi na kuleta maendeleo ya kiuchumi.
kama mwanaume anatarajiwa kufanya kazi na kuleta maendeleo kwa familia, kwa nini mwanamke asiwe tayari pia kuchangia kwa uwezo wake bila kujificha nyuma ya visingizio vya maumbile/asili?
Sipingi umuhimu wa asili ya mwanamke, bali nauliza kama ni sahihi kutumia maumbile na jukumu la asili kama kisingizio cha kutokuchangia kikamilifu katika maendeleo ya familia na jamii.
Analeta mambo ya ulaya hapa
Nikichangia bills atakubari tuishi kama wanawake wa ulaya huko ?
Au baado atataka apelekewe maji kwa kupigiwa magoti na kupelekewa maji bafuni?
Unataka nilipe bills utakubari zamu ya kupika ?
Nitachangia domestic labour nyumbani, unless unataka kufanya wewe Kipenzi ChanguUsichangie bills unataka uchangie nini katika hiyo 50/50?
Hizo hua ni dalili za mwanaume kutamani kua mwanamke yaani anaumia akiona mwanamke wake anabaki nyumbani kulea watoto na yeye anaenda kusulubika kwa kazi ngumu, anatamani yeye angekua mwanamke ili abakishwe nyumbani bila kujua huyo anayemuona golikipa ndie anayemlelea watoto wake na kusaidia mambo ya nyumbani yakae sawa na ndie anayepokea wageni wake wakija kumtembelea,
Nadhani wazee wangeirudisha Jando, wavulana wa siku hizi wanaukimbia sana uvulana wao wanapenda kushindana na wanawake kwenye kila kitu hadi kulelewa wenyewe wanawaita mishangazi.
Hata sielewi inakuaje wanaume ndiyo wanalalamika 😬 You can't have your cake and eat it 🤦♀️ 🤦♀️The real gold digger ni yule ambaye anataka mwanamke azae, alee watoto, azalishe mali, achangie kipato, ampe k kila anapohitaji, akiichoka akacheat, akikamatwa asamehewe…!
Sina habi, nina mahi-diha.
Nowadays wanaume wanalalamika sana shida ni nin?Tuko tayari kuchangia, shida inakuja kwenye double standards.
Unataka nichangie bills ila hata mtoto akizaliwa nalea peke yangu (akiwa kichanga huamki usiku kubadili nepi wala kumlisha mtoto, wala kumuandaa kwenda shule pale atakapoanza).
Hata najua basi alisema vizuri kwenye hii reply 👇👇👇
Tutabeba majukumu mkiwa tayari kwa usawa wa kweli, siyo tu kwenye bills na uchumi, bali pia kwenye kugawana shughuli zote za nyumbani, kimalezi, kimaendeleo na kifamilia.
Kama wanaume wenyewe waliobaki ndiyo hawa 🚮 , kazi mnayo!Nowadays wanaume wanalalamika sana shida ni nin?
Wanajitilisha huruma🙌
Bora nyie mliwahi mapema mahiKama wanaume wenyewe waliobaki ndiyo hawa 🚮 , kazi mnayo!
Kabisa, hili toleo lenu jipya la wanaume walalamishi ni kipengele 🚮🚮Bora nyie mliwahi mapema mahi
Mjinga mwenyewe, na usiwe unaquote wajinga! Kaandike mawazo yako achana na yangu!! Mie upeo wangu umeishia hapo!!Ukisoma methali 31 utajigundua wewe ni mjinga kuhusu kuhusisha bible kwenye uwajibikaji. Binafsi siamini katika utegemezi,, haya utasema mwanamke awe tegemezi je asipoolewa itakuwaje je akiolewa mumewe akifa itakuwaje. Wanawake mbadilike. Takwimu zinaonesha kila watanzania 10 maskini basi 7 ni wanawake kuna la kujifunza hapa
Yani washenzi washenzi tu! Wanafikiri kila mwanamke hajajitambua bado! Upuuzi kabisa!🚮🚮Kabisa, hili toleo lenu jipya la wanaume walalamishi ni kipengele 🚮🚮