HAtari na unusuKila mtu ashinde mechi zake mkuuView attachment 3556397
Mimi nakimbia maana kitawaka sitaki kubishanaKumekuchaaa!!
Subiri wanakuja sio mda kuchangamsha uzi huu.
Lol
๐๐๐Mimi nakimbia maana kitawaka sitaki kubishana
Those bitโฌhiess!Kila mtu ashinde mechi zake mkuuView attachment 3556397
Na mbinu yao ya kukwepa kujumuishwa kwenye ulipaji wa bill za familia ni kisingizio cha kubeba mimba.
SafiSiwalazimishi,
Ila vijana kama ikiwapendeza, MSIOE.
Hii kasi ya mabinti na utandawazi naona vijana wengi hawaiwezi, wamekuwa wanalalamika sana badala la kufanya maamuzi magumu. Siku hizi wanaume wanalalamika sana kuliko wanawake kwenye ishu za ndoa.
Visingizio hivyo vya wanawake, huwa vinategemea yupo na Mwanaume wa aina gani, mwenye misimamo ipi.
Nafikiri, kama unachagua kuongoza familia kisasa 50/50, basi hakikisha una uwezo wa kumsimamia Mkeo naye achangie kwenye Familia, na kama unataka "traditional way" basi hudumia familia yako bila tatizo, na ukiona hizi njia mbili zote huziwezi basi baki bachela.
Be a Man, ishi kwa kanuni na ujue kuzisimamia.
Duhh mkubwa, hivi waga unaandika kutoka moyoni au unaandika tu mawazo yako kama kujifurahisha na kufarahisha wenye mtazamo kama wako?๐คUmeongelea kitu ambacho nakutana nacho mara kwa mara hapa jukwaani. Ikija hoja ya usawa wa kijinsia, na ukasema kwamba kwa sababu mwanamke na mwanaume wamepewa fursa sawa basi wote wawe na mchango katika ustawi wa kiuchumi matika familia mfano ulipaji wa bill
Wanawake wengi huwa wanapinga hilo suala wanataka wawe na kipato lakini likija suala la kulipa bill libaki kuwa jukumu la mwanaume pekee ake, na mwanamke ataona pale atakapoona pamepungua(tafsiri yao hapo atatoa kwa hiyari yake kama sio hatotoa kabisa)
Kitu ambacho sio sahihi, kwa mtu yoyote mwenye kipato kujilipia mahitaji yake au kuchangia chochote ambacho anatumia ni wajibu wa lazima, sio hiyali.
Na mbinu yao ya kukwepa kujumuishwa kwenye ulipaji wa bill za familia ni kisingizio cha kubeba mimba. Sababu ambayo haina mashiko kwa sababu kimaumbile haiwezekani mwanaume hawezi kubeba mimba. Wanawake wanatakiwa wajue bill ni bill, na mimba ni mimba.
Zikija bill mwanamke achangie kwa scale ya kipato chake, na ikija mimba mwanaume atatoa ushirikiano kadili sababu za uwezo na kimaumbile zitakavyoruhusu
Yes kama MTU WA 50/50, otherwise hapaswi kukasirika na kusema kachangia kuzaa mtoto WA miezi 9.Nichangie bills? Utamaduni wa ulaya unauleta huku? Nimeoa mimi
Nichangie bills?
Hii point ya kuzaa sijui kwanini mnaiongelea sana na kwanini mnaichukulia poa sana! Aisee..mnai-relate sana, someni maandiko pia mwanamke atazaa kwa uchungu, mwanaume atafute kwa jasho! No more cha bure from bustani..Yes kama MTU WA 50/50, otherwise hapaswi kukasirika na kusema kachangia kuzaa mtoto WA miezi 9.
Yaani ndio HIVYo kama ni 50/50 basi lazima wachangie LAKINI WENGI wanadain50/50 ila hawana mchango wowote hakuna analalamika now days VIJANA wameona traditional way haina mantili ikiwa mwanamke anadai kuchangia kuzaa na kubeba mtoto hii haina maana YOYOTE ni tofauti za asili.Siwalazimishi,
Ila vijana kama ikiwapendeza, MSIOE.
Hii kasi ya mabinti na utandawazi naona vijana wengi hawaiwezi, wamekuwa wanalalamika sana badala la kufanya maamuzi magumu. Siku hizi wanaume wanalalamika sana kuliko wanawake kwenye ishu za ndoa.
Visingizio hivyo vya wanawake, huwa vinategemea yupo na Mwanaume wa aina gani na mwenye misimamo ipi. so kuchangia maendeleo au kutochangia kunategemea sana na aina ya mwanaume aliyenae.
Nafikiri, kama unachagua kuongoza familia kisasa 50/50, basi hakikisha una uwezo wa kumsimamia Mkeo naye achangie kwenye Familia, na kama unataka "traditional way" basi hudumia familia yako bila tatizo, na ukiona hizi njia mbili zote huziwezi basi baki bachela.
Be a Man, ishi kwa kanuni na ujue kuzisimamia.
Yes you are right , but what if someone haamini in bible swala la mgawanyo WA majukimu.Hii point ya kuzaa sijui kwanini mnaiongelea sana na kwanini mnaichukulia poa sana! Aisee..mnai-relate sana, someni maandiko pia mwanamke atazaa kwa uchungu, mwanaume atafute kwa jasho! No more cha bure from bustani..
Hizo mambo za 50/50 mnaforce sana wajuba, haziwezekaniki tena kwa nchi hii na kizazi cha nyoka hiki๐๐พ
Serikali yetu imeshafeli sana hata kwenye kuinua raia kiuchumi, hiyo 50/50 vepee! Nikadange ili kuja kusomesha watoto wakati wewe breadwinner uwezo huo unao?
Wanaume mmeumbwa kutafuta kwa jasho tafuteni, nyie ni breadwinners ๐๐พ
Sasa mtoto wa kike anapewa fursa sawa na mtoto wa kiume ili iweje. Ni ipi kazi ya hela ya mwanamke kwenye ujenzi wa familia. Hivi mnajua haya masuala ya usawa wa kijinsia ni nyie ndio mlienda beijing kuyapiganiaDuhh mkubwa, hivi waga unaandika kutoka moyoni au unaandika tu mawazo yako kama kujifurahisha na kufarahisha wenye mtazamo kama wako?๐ค
Nichangie bills? Utamaduni wa ulaya unauleta huku? Nimeoa mimi
Nichangie bills?
Hizi ni wishful thinking,fantasy and unreaslistic ideas u name it!
Tunayajua ndio kuna siku nilikutumia pdf usome ukaniignore! Kwasabau naona kila leo unakomalia kuhusu mwanamke kuhudumia familia! Wanawake kuoigania haki katika jamii imekuwa walipigania haki katika ndoa zao, una base sana kwenye huduma za kifamilia sijui kwanini!Sasa mtoto wa kike anapewa fursa sawa na mtoto wa kiume ili iweje. Ni ipi kazi ya hela ya mwanamke kwenye ujenzi wa familia. Hivi mnajua haya masuala ya usawa wa kijinsia ni nyie ndio mlienda beijing kuyapigania
Kwahiyo huduma za kifamilia zisiguswe? Hili ni jukwaa la mahusiano ndio maana tunabase zaidi hapo kwenye familia ambapo ulipaji wa huduma za kifamilia lazima uwekewe utaratibu wa nani anatoa nini ikiwa wote wawili mna kipato.Tunayajua ndio kuna siku nilikutumia pdf usome ukaniignore! Kwasabau naona kila leo unakomalia kuhusu mwanamke kuhudumia familia! Wanawake kuoigania haki katika jamii imekuwa walipigania haki katika ndoa zao, una base sana kwenye huduma za kifamilia sijui kwanini!