"Visit Tanzania" ya Simba SC ni nzuri lakini...

Hakuna ubunifu wowote, ujinga na utaahira tu, wagekuwa wabunifu wangetafuta maneno yanayo-deliver the same message lakini ambayo hayajatumiwa na nchi au mtu yoyote. Poor simba
Umeona sasa tunavyosema nyie mashabiki wa Utopolo ni manyani, ubunifu unaozungumziwa sio neno visit Tanzania, ili ule ubunifu wa kutafuta mdhamini wa kukaa kwenye kifua cha jezi badala ya jezi kua plain.
 
Simba sc si ya wanachama Tena Hilo liko wazi, hii ishakuwa Mali ya Moo full stop. Hao wanachama na hisa zao Ni geresha tu kutaka kuizuga serikali.
Na Kidimbwi FC ni ya nani?
 
Sisi mashabiki tunahitaji burudani safi uwanjani na ushindi..hatujali kama visit Tanzania wamelipa au la timu inamilikiwa na Mo au diamond si tunataka ushindi tu
Inaonesha uelewa wako wa mambo upo chini Sana. Uelewa wa mpira na biashara.
 
Wamesema kuwa Simba wamejitolea bure Ndio maana na Mimi nikasema kwa kuwa Ni bure basi serikali ingelipa fadhila kea kuwapa uwanja wa taifa bure.
 
Ndio maana huu mfumo una Mashaka, huwezi kuwa na hisa 49% unafanya maamuzi ya klabu. Wenye hisa 51 ambaye ni mwenyekiti wa Simba sc ya wanachama ndiye anapaswa kuwa na nguvu kubwa kuliko wenye hisa chache ambayo ni Mo group. Japo wanapaswa kufanya majukumu kwa pamoja.
 
Neno tu visit Tanzania hiyo jezi itanunuliwa na ambao si wanasimba pia ,imekaa kizalendo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kaka sijasema kuwa idea ni mbaya hapana, Lengo ni je, Simba inapata faida gani kutangaza nchi bure? Jibu ni UZALENDO. Kama sisi tunakuwa wazalendo basi hata serikali na TFF wapunguze Makati yasiyo na msingi kwa timu.
 
Wewe uliskia wapi au ulikuwepo wakati wanasaini mkataba wakasema ni bure? Sasa kama ni bure wamesaini mkataba wa nini acha choko choko bwana wewe andaa yenu visit kidimbwi.
Tatizo ni moja tu kuwa huna akili.
 
Simba kupitia hili swala wanatengeneza faida kupitia mauzo ya jezi...pamoja na kujitengenezea channel ya dili zingine
Unadhani bila nemo Visit Tanzania jezi za Simba zisingeuzwa ? Kujitengenezea mazingira ya dili zingine hapo nakubali.
 
Hakuna ubunifu wowote, ujinga na utaahira tu, wagekuwa wabunifu wangetafuta maneno yanayo-deliver the same message lakini ambayo hayajatumiwa na nchi au mtu yoyote. Poor simba
Kwa Nini serikali haikuona haja ya kubadili maneno. Nakubali kuwa maneno hayo hayana mvuto kabisa.
 
Biashara acha wafanye wao sisi haituhusu kabisa na hatutaki kujua biashara ikoje,,, sisi tunataka ushindi na pila biriani
Narudia tena angalia biashara inavyoenda mpira ni biashara. Mpira ni uwekezaji, halafu Kama hujui ni kuwa mpira ni menejimenti, ukiwa na uongozi mbovu timu haitosurvive. Kule England Kuna timu za sunderland, Notingham forest na posmouth, hizi timu zinaelekea kufa kwa sababu ya uongozi mbaya.
Ikumbuke Ac Milan na Inter namna walivyoyumba kiuchumi baada ya mabosi kuondoka. Mo hatakaa Simba milele. Simba unahitaji kuwa na vyanzo vya mapato nje na mwekezaji.
 
Bado haijalishi sisi mashabiki tunataka furaha uwanjani hayo mambo ya mpira biashara wafanye hao wawekezaji na biashara zao, faida zao sisi hazituhusu ,sisi faida yetu ni furaha ya ushindi uwanjani.

Kule England Arsenal kila mwaka wanaingiza faida wale mainvestor ila mashabiki hawana furaha kila siku wanalalamika,

Hapa bongo hii simba apewe hata mchina aifanye yake ila sisi tunataka ushindi tu uwanjani. faida zako hazituhusu sisi furaha yetu ni muhimu
#Mpira Furaha
 
Kidimbwi unateseka ukiwa wapi?
 
Uzalendo kwamba hawalipwi chochote?
 
Uzalendo kwamba hawalipwi chochote?
Ndio ndivyo nilivyosikia. Wamejitolea kizalendo.
Lakini leo Simba atatoa Mil4 mechi na Azam kea ajili ya uwanja wa taifa lakini wao hata kununua vifaa vya chuoni na kurekebisha masink hawawezi. Uwanja gani Umeme wa Mawazo? Ivi Treni Ya Umeme tutaweza kweli Kama taa600 za uwanja wa taifa zinatushinda kucontrol? Taa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…