Hujui lolote kuhusu mfumo wa hisa unavyofanya kazi, 51% ya wanachama ni kikundi cha watu wengi, mfumo wa hisa ni mtu sio watu mwenye hisa nyingi ndio anakua mwenyekiti wa bodi. Unaspeculate eti Barbara kapewa ruhusa na nani? Hivi mo au mwenyekiti wa Simba? Swali hili linaonyesha namna gani hujui mfumo wa uendeshwaji wa klabu.
Hao wote hawana mamlaka ya kutoa maamuzi yoyote, chombo chenye mamlaka hayo ni bodi ya wagurugenzi. Unaonyesha huoni faida ya kiuchumi Simba kuvaa Jezi hizo, Kwa kutumia jezi hizo Simba itakuza zaidi brand yake, mauzo ya jezi kutokana na logo ya visit Tanzania, na pia itatangaza utalii wa nchi yake, Simba ni ya Tanzania na wala si Burundi. Manufaa ya nchi yanatija kwa Simba pia.
Sent using
Jamii Forums mobile app