Visit visa ya canada πŸ‡¨πŸ‡¦

Just a person

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2022
Posts
984
Reaction score
1,232
Habari wakuu,

Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work.

Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.
 
Mkuu if una dream za kuingia Canada njia rahisi ni kuingia kama wanafunzi tu hakuna njia ingine
Yeah hii ndio njiaa rahisi zaidi. Hakuna nyingine na uwe na mpunga wa kushato. At least USD 10k kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…