Vita dhidi maambukizi ya corona Tanzania, kampuni ya Total Tanzania mfano wa kuigwa!. Ukifika lazima unawe, upimwe na mashine ndipo uruhusiwe kuingia!

Chapeni Kazi Corona ni Mafua tu,Total ni Wachochezi,wanaleta taharuki katika Jamii.
MAYALLA kwa kisukuma ni NjAAA

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Mkuu Ng'wanamangilingili, tuonyeshe uhitaji ndipo serikali ipunguze kodi au kutoa subsidy.
Huyo meneja naye, yaani anashangaa elfu 80 kwa dumu la lita 4 kwa siku, hiyo ni bei ya chupa ya 750 mls za yuje jamaa ninayetembea nae, Joni Mtembezi alama nyeusi, alama nyekundu ni 40,000, alama ya dhahabu ni 480,000 kwa lita moja na alama ya blue ni 720,000 kwa lita moja!.

P
 
Pata picha hiyo process ukaifanyie hapo kariakoo. Anyway, ngoja nisiharibu furaha na hamasa yako.
Kama ndio itasaidia kuokoa maisha kwa kuepuka maambukizi, it's worth it. Issue ni seriousness kwasababu sisi we are not hard hit.
P
 
Mbona US hawajatoboa pamoja na kuwa na technolojia ya juu mkuu? Au ni umbumbumbu wao kama akina Mayala a.k.a Njaa?
 
Leo nimetoka TRA Mbagala ...hakuna cha kunawa mikono wala nini na watu kibao wamerundikana kusubiri kuhudumiwa,wengine wanamafua. hatuko serious kabisa na tutakufa kama kuku.
Utakufa wewe mwenye upungufu wa CD4
 
Hongera Total napenda kujaza mafuta katika vituo vyao na hili itabidi niwaunge mkono kila wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…