kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Watu wanajilinda unasema mbwembwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pascal Mayalla,
Paskali bana, kweli ww ni msukuma, ukiona tukio kama linakukosha na kukupa hamasa mpaka unaona na sisi tujue lililokusimsimua! Ni hivi, hilo uliloiona hapo Total Ni mbwembwe tu, na wala haliwezi kufanya kazi kwenye mikusanyiko mikubwa, ambako ndio kwenye hatari kubwa ya maambukizi.
Pata picha watu watumie mtindo huo kwenye masoko, kisha uone kama kuna litakaloendelea. Anyway, ngoja tukupongeze kwa kwenda kwenye ofisi za total, na si ajabu umevuta chochote ili uje umwage hili promo humu jukwaani.
Sent using Jamii Forums mobile app