Vita dhidi maambukizi ya corona Tanzania, kampuni ya Total Tanzania mfano wa kuigwa!. Ukifika lazima unawe, upimwe na mashine ndipo uruhusiwe kuingia!

Q1l


No, ndani ya jf, hatuna preferential members, we are all equal, hivyo it's just a matter of time hata uzi huu utaunganishwa au kuhamishwa.
P
Duuh,umewaambia wakuhamishe nini?Naona wamekupeleka biashara,uchumi na ujasiliamali!
Nimeshtuka,yawezekana wewe jamaa unafanya kazi kama moderator JF!
 
Hata stanbic bank kinondoni hapa wanafanya hivyo huu utaratibu ungefanyika inchi nzima,kwenye mkusanyiko ingependeza sana.
 
Kila mutu getini anapimwa na kunawa mikono ndio unaluhusiwa kuingia kama ingekua hivyo inchi nzima kwakiasi furani tungezibiti aise.
 
Duuh,umewaambia wakuhamishe nini?Naona wamekupeleka biashara,uchumi na ujasiliamali!
Nimeshtuka,yawezekana wewe jamaa unafanya kazi kama moderator JF!
No ni baada ya wewe kunichongea kwa ma modes, tena wanafanya kazi maroboti, kwa vile imetajwa kampuni ya Total na inafanya biashara ya mafuta, sio kila kitu kuhusu Total ni biashara tuu. Kwenye hoja za uzi huu kuna biashara gani hadi uletwe huku kwa uchumi na ujasiliamali?. Huu uzi ulipaswa uende hoja mchanganyiko.
P
 
Hahahahaahaa,mkuu nimecheka sana!Angalia wasikupige ban kwa kuwaita maroboti!😅😅😅
 
Kila mutu getini anapimwa na kunawa mikono ndio unaluhusiwa kuingia kama ingekua hivyo inchi nzima kwakiasi furani tungezibiti aise.

Mkuu kwa uandishi huu kama ingekuwa unaongea ningesema una mafua.
 
Hata Hawa NMB BRANCH kurasini hapa uhamiaji ukingia lazima unawe Ndani kna sanitizer za kutosha

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Paskali Jana hii mada uliileta kupitia jukwaa la siasa, nilishangaa nguli kama ww kuleta uzi wenye maudhui haya jukwaa la siasa, ila nilinyamaza maana najua siasa ni maisha.
 
Mkuu Michael Makene, asante nimekisikia, na karibu mitaa hii.
P
 
Wandugu, hapa nafanya tuu follow up ya Corona nikipitia kujikumbusha niliwahi kuandika nini au kusema nini kuhusu Corona na hiki kinacho endelea sasa. Corona is real tusifanye masihara, tujilinde kwa kufuata ushauri wa kitaalamu.

Kila Jumamosi asubuhi kuanzia saa 1:30 hadi saa 3:00 asubuhi , Star TV, huwa ninakuwa live kwenye kipindi cha TV cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho huwa kinatangwa live na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi, kwa Jumamosi ya kesho, mgeni wetu ni Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe tukijadili kuhusu athari za Corona kwenye sekta ya Habari, nini kifanyike.

Ukipata nafasi karibu utufuatilie.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…