Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
ExactlySheria iwe ni level seat kwa muda , kama kufunga shughuli zote kwa muda itashindikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ExactlySheria iwe ni level seat kwa muda , kama kufunga shughuli zote kwa muda itashindikana.
ufunge mipaka tayari unaye ndani ya mipaka?
Kikumbwa ni kupunguza kasi kwa kuenea na moja ya njia ndo hiyo, zuia watu wasikusanyike.
Bado wangeweza kusema daladala zisijaze watu vile zinafanya, inatisha ati Mkuu
Tembea kwa miguu pia ishi katika eneo lako mwenyewe.Wewe ni mbinafsi mno...unajifikiria mwenyewe kwa vile unakiSwift chako basi Unajiona Uko salama...kama Arteta kaambukizwa who are you? Complete idiot
Saut coz za education unakuta hata 1000upo sahihi kabisa, tena vyuoni unakuta mpo watu 400 darasa moja ,
Sent using Jamii Forums mobile app