Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Hao ni watu wazima... Waamue wao la kufanya
 
ufunge mipaka tayari unaye ndani ya mipaka?
Kikumbwa ni kupunguza kasi kwa kuenea na moja ya njia ndo hiyo, zuia watu wasikusanyike.

Kufunga mipaka ni kupunguza rate ya kuingiza wadudu.

Kupambana na wadudu walioko ndani halafu unaachia wengine waingie ni kazi bure, ni sawa na kuziba pancha tundu moja huku lingine ukiliacha kamwe hutofanikiwa
 
Watu wazima hao wanapimwa kama wanaweza kujiongeza, si mnataka wakihitimu wajiongeze wasililie ajira.
Wanaanza kupimwa kwenye issue sensitive kama hii
 
Mackanackyyy,
kweli erikali inakazi kubwa ana kukabiliana na hali hii maana maisha yetu yalivyokaa ni utata mtupu ila wakifika kwenye vyombo vya habari wanaongea ongea tu. wanafunzi wanabaki nyumbani ila wazazi na ndugu wanawaletea nyumbani kwa uzuri kabisa.
 
Sisi wa daladala atupati corona watapata hao hao wavaa mask na wanaokimbilia masuper market sijui kununua sabuni..mimi asubhui nimekunywa supu wa mapupu mchana ugali matembele jioni hii nimepiga nyeto hio Corona itawafata nini hapa hapa? Huku mtaani mwizi tunampiga mpka na nondo za kichwa ila akufi akufi kabisaa ndio tufe kwa mafua? Hao hao wajipange sisi atufi na mafua bwana[emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shida kubwa ni kuiga vile wazungu wamefanya kufunga shule na mikusanyiko mbalimbali. kwa upande wetu ingetafutwa namna nzuri ya kujiepusha kulingana na mazingira yetu.
 
Dr Akili,
Kwa namna moja ama nyingine unaweza kuwa sahihi kwa kile ulichoita TETESI, kitu ninacho pingana nacho hapa ni huu UZALENDO. Ukifuatilia sakata zima la huyu dada ni wazi amekosa ubinadamu, iwe alilipwa ama ni kwa maamuzi yake lakini alicho kifanya bado hakiwezi kuhesabiwa kama ni uzalendo.

Tabia ya virusi vya corona ukikutana na mtu mmoja tu umewaingiza maelfu katika janga. Kama tutakubaliana na taarifa za waziri mwenye dhamana kwamba huyu ndio muathirika wa kwanza nchini basi tuliondoe kabisa suala la uzalendo kwa huyu dada kwa namna alivyo fanya.
 
Kama wenzetu Rwanda kupiga marufuku mikusanyiko yote katika nyumba za ibada makanisani na misikitini ...........

Tena itapendeza viongozi wa dini wakiungana na serikali yetu kuzuia mikusanyiko katika kipindi hiki chote cha sitofahamu ya ugojwa huu wa corona kama wenzetu wa rwanda

Kama swala la kuabudu kila mmoja abudu nyumbani kwake hivyo

Nawakilisha hoja kwa serikali na viongozi wa dini kuhusu hili swala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Kigogo alipotoa taarifa na kushauri mlisemaje?
 
Kama wenzetu Rwanda kupiga marufuku mikusanyiko yote katika nyumba za ibada makanisani na misikitini ...........

Tena itapendeza viongozi wa dini wakiungana na serikali yetu kuzuia mikusanyiko katika kipindi hiki chote cha sitofahamu ya ugojwa huu wa corona kama wenzetu wa rwanda

Kama swala la kuabudu kila mmoja abudu nyumbani kwake hivyo

Nawakilisha hoja kwa serikali na viongozi wa dini kuhusu hili swala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…