Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Makamanda waliomba hili litokee, sasa kujifanya kushauri kama vile wanatu enjoy
 
Siyo lazima muambiwe msipande daladala.

Jiongezeni wenyewe.

Za kwenu mchanganye na za wengine.

Mtu kama unaona vipi...usipande daladala na mwendokasi.

Tembeeni. Endesheni baskeli, bodaboda, bajaji.

Pandeni maguta.
Nafikiri unatania haupo serious.
Fikiria mama anayetegemea aendeshe maisha ya wanae kwa kuuza samaki, atoke pugu hadi ferry afike pale saa kumi na moja alfajiri kwa miguu, arudi na ndoo ya samaki kichwani 😎
 
Nafikiri unatania haupo serious.
Fikiria mama anayetegemea aendeshe maisha ya wanae kwa kuuza samaki, atoke pugu hadi ferry afike pale saa kumi na moja alfajiri kwa miguu, arudi na ndoo ya samaki kichwani 😎

Huyo mama muuza samaki anaweza kwenda kujilaza katikati ya barabara ya Morogoro kwa lengo la kupumzika?
 
Siyo lazima muambiwe msipande daladala.

Jiongezeni wenyewe.

Za kwenu mchanganye na za wengine.

Mtu kama unaona vipi...usipande daladala na mwendokasi.

Tembeeni. Endesheni baskeli, bodaboda, bajaji.

Pandeni maguta.
Akili yako ndogo, huu ugonjwa unahitaji collective measures si roborobo hata we unayechukua tahadhari utakupata tu kama utakuwa umezungukwa na wanaoupata kila siku..

The only solution ni kuzuia all forms of gathering tena kwa kutumia nguvu na sheria kali..

Italy for now ukikutwa tu nje ni murder case..
Unaona kinachofanyika ufaransa ama hata spain, hata hapo Rwanda jirani.. Corona ndo hiyohiyo huyu si mtoto wa corona guys

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Collective measures ni pamoja na individual initiatives na individual effort.

When each individual plays his/ her part, it can be done.

Stop waiting for the government to do everything for you.

That’s dumb.
 
Ila watu wengi ufahamu ni mdogo sana, hili swala bila ya nguvu ya serikali tutapukutika wote, kivipi..

Unatumia private car unajidai kuchukua tahadhari zote jumapili unaenda kanisani kusali unashika milango ama kugusana na MTU ambaye kaambukizwa kwenye daladala ambazo serikali imeruhusu ziendelee...

Wewe ni mkufunzi wa vyuo vikuu ama mtumishi wa umma uko makazini mikusanyiko iko palepale, unaupata hukohuko unakuja nyumbani no way utashika milango ama kugusana na watoto wako wa shule za msingi ama sekondari ambazo serikali imezifunga cycle ni hiyohiyo wataugua tu..

Hizi masks zinapunguza tu chances kama mfumo wote wa watu kukaribiana utakuwa umedhibitiwa vinginevyo ni kazi bure

Kama Dr. wa kwanza kutoa tahadhari za ugonjwa huu huko china kafa kwa corona licha ya max precaution alizokuwa akichukua this shit is not a joke.. Fuatilieni anga za nje ni nguvu ya serikali tu itapunguza watu kuangamia..

Kukiwa na mhonjwa hata mmoja wa COVID nchi nxima hakuna atakayethubutu kusema yuko salama.. Ni mpumbavu tu asiye na uelewa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesema waweke utaratibu kwenye.usafiri wa Umma, ungekuwa hata na akili nusu ya unazopaswa kuwa nazo ungeelewa mantiki ya hoja yangu

Hakuna cha mantiki hapa wewe unatoa lawama za bure tuu hahaha
 
Kwa ninavyowafahamu watanganyika, hata serikali ikisema daladala zijaze "level seat", bado miwatu italalama tu!

Utashangaa kuona hao hao waliokuwa wanalilia level seat ndio wanakuwa namba moja kudandia magari hata kama yamejaa!

Tena huwa wanang'ang'ania kupanda hata gari liwe limejaa vipi! Atajichomeka humo mpaka aingie!

Ninyi subirini tu mfe kwa hiyo corona (kama kweli corona itawaua).

Hamuambiliki wala hamuelekezeki!
 
Enheee! Umenikumbusha kitu Nabii Mwamposa kupitia radio yake amekua akitangaza kuponya NGOMA aka MIWAYA aka UMEME na kumekuwepo shuhuda mbalimbali zikithibitisha hilo.

Mwingi ni huyu Nabii Flora wa Salasala naye anawalaza watu kanisani kwake akiwaambia atawaombea na watapona UKIMWI.

Hivi Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, mkienselea kukaa kimya hawa jamaa hawatajali madhara bali wataangali namna CONVID -19 itakavyowaongezea mpunga.

Dada yangu Ummy Mwalimu tupia jicho huku pia usiogope kwamba watakuambia unaingilia uhuru wa kuabudu dada tafadhali.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Collective measures ni pamoja na individual initiatives na individual effort.

When each individual plays his/ her part, it can be done.

Stop waiting for the government to do everything for you.

That’s dumb.
How.. Wewe ni mtumishi wa umma bado serikali inakuitaji uende kazini utakutana na watu ambao in one or another wanaweza kuwa wameambukizwa coz u never know route za kila MTU.. Hapo unaavoid vipi.. Hiyo individual effort inakuokoa vipi in that situation..

Mkiambiwa kila kitu kinasimama mnafikiri utani.. Akili ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…