Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Hukuna haja ya jupiga kelele na watu, tukianza kufa kama kuku wa mdondo hutamuona mtu mtaani, si sokoni wala daladala automatically kutakuwa deserted.
 
Solution ya mabomba kamata tissue mkononi shikia bomba na mabasi yaanzishe utaratibu wa kusafisha mabomba na viti kwa kutumia sanitanizers kila mwisho wa trip. Bila ya kusahau majukumu yetu kuosha mikono kila mara.

Kasheshe kubwa zaidi ni ticket zenyewe zinakatwa na mtu mmoja ofisini au kondakta ndani ya basi imagine huyo mtu ndio awe na Coronavirus halafu hana tabia ya kuosha mikono au linapiga piga chafya ovyo huyu sasa ndio kila trip lazima awape watu kadhaa gonjwa.
 
Wengi wanaoponda huu uzi ni watoto wa kishua wana magari yao hawana wasiwasi kabisa mtu anafanya kazi posta anaishi buza unamwambia nn labda?? Ahamie posta atembee??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ummy anamuogopa bosi wake hawezi kuwagusa hao.
 
Vipi ukipanda daladala ukiwa umevaa maski na ukishuka unanawa mikono si utakuwa umejikita?
 
Trafiki polisi wasimamie kila daladala kuwa na sanitizer na maji na sabuni abiria wanawe mikono kabla ya kuingia na kutoka. Aidha abiria wapewe gloves wavae mikononi.

Vilevile Waziri wa Usafirishaji ajiuzulu hafanyi lolote wakati daladala zinajaza abiria, hawazi, hasemi lolote, hawajibiki.
 
Makahaba wapewe ruzuku halafu machinga warudishwe kwao? Hii list yako jaribu kufikiria tena mkuu
nina maanisha, kuna mambo watanzania tunajipiga upofu lakini yapo, makahaba wanajitangaza mitandaoni, wapo kwenye muziki wa bongo fleva na wanatengeneza picha za ngono na kuzirusha wakijidai simu iliibiwa na zikarushwa na wez lakini ile ni biashara yao kubwa, nashauri tu, walipwe wapumzishe vimashine vyao mpaka Corona iishe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo Kuna jamaa ana lorry kaniambia anarudi na mzigo wote wa pombe kwa sababu pub wameukataa wanasema hakuna wateja
Hapa ni sehemu moja karibu na Heathrow [emoji23]


Sent from my iPhone using Tapatalk
the same na hapa Seattle, wamefunga kila kitu, hakuna kazi ila tunalipwa per diem na serikali, wTrump ametoa stimulus package ya kutufidia
 
Hio ya trafiki hawatakubali.
Utawaua kwa njaa
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ baada ya week uchumi siatakuwa umedondoka.
SErikali inaweka stimulus package, kufidia watu wote, uchumi is nithing if there is no life.

Hizo hela za kujigamba kununua ndege kwa cash ndio sasa zipambane na corona, lakini pia zile 1.5 Trilion wazirudishe, zinunulie kinga
 
Hio ya trafiki hawatakubali.
Utawaua kwa njaa
Corona is deadly man, umeona mkuu kakimbilia Dodoma, ummy anaongea kinafiki huku akicheka, wamewaacha hapo DAr kwenye mwendokasi na ummy kishasema hatuuwezi huu ugonjwa bali wanaweza kupambana na CHADEMA na wapinzani, intelijensia haiwaambia yalipo maambukizi ya corona ila inawaambia viashiria vya uvunjifu wa amani
 
Hali ikiwa mbaya hatuna chakula tunakufa kufa tutaingia kitaa na tutawatoa kwa nguvu hatutaongope risasi.

Kwa sababu wanafanya mzaha hii corona itawatoa madarakani wewe waache tu

Magufuli anakbiimbilia chato . Yani mindege yake tutaiuza mchana kweupe tununue mahindi tugawane
 
Jeshi linauelewa wa kutosha juu ya magonjwa ya mlipuko ? Je watanzania si waelewa kiasi itumike nguvu ? Nadhan kwa maoni yangu jeshi letu liachwe, kwenye hili wao wenyewe wana vifo vingi hawavitolei hata sbb just take the case la wale waliopoteza uhai kiangaiko hapo
 
Waziri akijiuzulu, hao abiria wanaoona daladala imejaa lakini bado wanapanda wafanyweje?, Nani agawe gloves kwa kila abiria au abiria ndio waje na gloves zao?
 
Ni usha
Waziri akijiuzulu, hao abiria wanaoona daladala imejaa lakini bado wanapanda wafanyweje?, Nani agawe gloves kwa kila abiria au abiria ndio waje na gloves zao?
ushauri, mm sio opposition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…