Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Hukuna haja ya jupiga kelele na watu, tukianza kufa kama kuku wa mdondo hutamuona mtu mtaani, si sokoni wala daladala automatically kutakuwa deserted.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unabwabwaja nini kenge weee! Mxiuuuuh!Nimesema waweke utaratibu kwenye.usafiri wa Umma, ungekuwa hata na akili nusu ya unazopaswa kuwa nazo ungeelewa mantiki ya hoja yangu
Sisi wa katika pantoni inakuwaje?? Tuko tayar kutembea je ktk maji tuige style ya Nabii mussa??From Pugu to Tegeta daily tutakua tunatembea kwa mapumb.u tu aisee.
Ucwaze twenzetu kwa waziri mkuu nikakulee kitoto changuKwa level hii niliyopo andaa BMW tyuuh na ATM isomee miamala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ummy anamuogopa bosi wake hawezi kuwagusa hao.Enheee! Umenikumbusha kitu Nabii Mwamposa kupitia radio yake amekua akitangaza kuponya NGOMA aka MIWAYA aka UMEME na kumekuwepo shuhuda mbalimbali zikithibitisha hilo.
Mwingi ni huyu Nabii Flora wa Salasala naye anawalaza watu kanisani kwake akiwaambia atawaombea na watapona UKIMWI.
Hivi Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, mkienselea kukaa kimya hawa jamaa hawatajali madhara bali wataangali namna CONVID -19 itakavyowaongezea mpunga.
Dada yangu Ummy Mwalimu tupia jicho huku pia usiogope kwamba watakuambia unaingilia uhuru wa kuabudu dada tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambana ununue ndinga acha hasira na watoto wa kishuaWengi wanaoponda huu uzi ni watoto wa kishua wana magari yao hawana wasiwasi kabisa mtu anafanya kazi posta anaishi buza unamwambia nn labda?? Ahamie posta atembee??
Sent using Jamii Forums mobile app
nina maanisha, kuna mambo watanzania tunajipiga upofu lakini yapo, makahaba wanajitangaza mitandaoni, wapo kwenye muziki wa bongo fleva na wanatengeneza picha za ngono na kuzirusha wakijidai simu iliibiwa na zikarushwa na wez lakini ile ni biashara yao kubwa, nashauri tu, walipwe wapumzishe vimashine vyao mpaka Corona iisheMakahaba wapewe ruzuku halafu machinga warudishwe kwao? Hii list yako jaribu kufikiria tena mkuu
the same na hapa Seattle, wamefunga kila kitu, hakuna kazi ila tunalipwa per diem na serikali, wTrump ametoa stimulus package ya kutufidia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo Kuna jamaa ana lorry kaniambia anarudi na mzigo wote wa pombe kwa sababu pub wameukataa wanasema hakuna wateja
Hapa ni sehemu moja karibu na Heathrow [emoji23]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hio ya trafiki hawatakubali.Baada ya Corona kuingizwa Arusha na mrembo na tajiri mwenye shule za binafsi, sasa muda wowote itaingia Dar kupitia wasanii wa Bongo Fleva wanaotoka kupiga Show ulaya.
Ili kuzuia hatua zifuatazo zichukuliwe leo hii:
1. Harusi zote zisitishwe
2. Misiba wahudhurie ndugu tu, wasizidi 20.
3. DART-mwendokasi upigwe marufuku
4. Machinga wote waliozagaa mjini kwa tamko la JIWE waondoshwe na kurudishwa makwao.
5. Mabasi yaendayo nje ya nchi yasitshe safari.
6. JKT WARUDISHWE NYUMBANI.
7. MAHABUSU WOTE NA WALE WALIOPO VITUONI WAPEWE DHAMANA
8. KWARESMA NA NJIA YA MSALABA IPIGWE MARUFUKU
9. BEACH ZOTE ZA UMMA zipigwe marufuku.
10. Betting offices zifungwe
11. Wale makahaba wote wa Sinza, Buguruni walipwe fedha/ruzuku, ili wakae nyumbani.
12. Kupanda daldala iwe LEVEL SEAT, NA KUINGIA KWA FOLENI/MSTARI na kila mtu alipe kwa tigo pesa.
13.Traffic akikukamata hakuna kumpa leseni, wataeneza ugonjwa.
14. Gest houses zote zifungwe na zibaki hoteli tu.
15. CCM LUMUMBA vile vijiwe vya kahawa vifungwe vyote
SErikali inaweka stimulus package, kufidia watu wote, uchumi is nithing if there is no life.😀😀😀😀 baada ya week uchumi siatakuwa umedondoka.
Corona is deadly man, umeona mkuu kakimbilia Dodoma, ummy anaongea kinafiki huku akicheka, wamewaacha hapo DAr kwenye mwendokasi na ummy kishasema hatuuwezi huu ugonjwa bali wanaweza kupambana na CHADEMA na wapinzani, intelijensia haiwaambia yalipo maambukizi ya corona ila inawaambia viashiria vya uvunjifu wa amaniHio ya trafiki hawatakubali.
Utawaua kwa njaa
Hali ikiwa mbaya hatuna chakula tunakufa kufa tutaingia kitaa na tutawatoa kwa nguvu hatutaongope risasi.Corona is deadly man, umeona mkuu kakimbilia Dodoma, ummy anaongea kinafiki huku akicheka, wamewaacha hapo DAr kwenye mwendokasi na ummy kishasema hatuuwezi huu ugonjwa bali wanaweza kupambana na CHADEMA na wapinzani, intelijensia haiwaambia yalipo maambukizi ya corona ila inawaambia viashiria vya uvunjifu wa amani
Waziri akijiuzulu, hao abiria wanaoona daladala imejaa lakini bado wanapanda wafanyweje?, Nani agawe gloves kwa kila abiria au abiria ndio waje na gloves zao?Trafiki polisi wasimamie kila daladala kuwa na sensitizer na maji na sabuni abiria wanawe mikono kabla ya kuingia na kutoka. Aidha abiria wapewe gloves wavae mikononi.
Vilevile Waziri wa Usafirishaji ajiuzuru hafanyi lolote wakati daladala zinajaza abiria, hawazi, hasemi lolote, hawajibiki.
ushauri, mm sio oppositionWaziri akijiuzulu, hao abiria wanaoona daladala imejaa lakini bado wanapanda wafanyweje?, Nani agawe gloves kwa kila abiria au abiria ndio waje na gloves zao?