PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Serikali imeshapiga marufuku mikusanyiko so wao watupe mwongozo kama ibada zitaendeshwa online kama Kenya au vipi?Kwa viongozi wetu wa kiroho itakuwa ngumu kutoa tamko mpaka serikali iseme...
Mafutaa, hela kwanza
Ahsante kwa taarifa mkuu!Kwa Kanisa Katoliki, Jimbo kuu la Dar, limeshatoka agizo kutoka kwa Mhasham Baba Askofu Mkuu, kuwaelekeza mapadre na waamini wote, kwanza kusitisha Mafundisho yote ya Wakatekumeni.
Pili ameelekeza namna utaratibu wa Misa utakavyokuwa katika kipindi hiki, ikiwa Ni pamoja na kusitisha kupeana mikono Wakati wa Misa, Maji ya baraka yanayowekwa kwenye malango ya Kanisa na Utaratibu utakaotumika Wakati wa Komunyo (meza ya Bwana).
Utofaut n kuwa Sheikh alitoa maelekezo through Press Conference Wakati Maaskofu wa TEC, kila mtu kwenye Jimbo lake Mahalia, akitumia utaratibu wa siku zote kwa kufikisha taarifa kwa waamini kupitia kwa wachungaji wao yaani Mapadre.
FaizaFoxy alipata kusema ugonjwa huo ni adhabu kwa mchina kumnyanyasa muislam. leo tunashuhudia hakuna kuzunguka huko ka'aaba madrsa zimefungwa ndipo kama bindmu tunapswa kujitambua kwamba maish yanaweza kuendelea bila uwepo wa dini iwe ukristo au uislam inapotokea ukabeza dini fulani kwa kudhani ya kwako ipo sahihi nakufananisha n juha fulani aliyetolew ubongo wake wa asili na akawekewa ubongo wa kiumbe kinginejohnthebaptist,
Manabii wa Uongo watoe tamko? wanaumwa?
wao mpaka sasa wanasema corona ni pepo na watu waende kanisani kwa wingi jumapili ili kukemea hili pepo la china.