Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Kwa viongozi wetu wa kiroho itakuwa ngumu kutoa tamko mpaka serikali iseme...
 
Tanzania tuna dini tatu kubwa
1. Ukristo

2. Uislamu.

3. Upagani.
Wapagani huwa hawakutani kila jumapili na hawa ndio wengi na tunawapongeza watapunguza maambukizi ya corona.

waislamu tmetangaziwa na mufti tusikutane madrasa japo msikitini tutakwenda lakini kwa nature ya dini yetu huwa hatuna tabia ya kutoa sadakatul kama wenzetu wakristo

wakristo wanaishi kwa sadaka, na wamegawanyika [wakristo wa dini-ambao hawaj okoka na kupokea yesu na walio okoka] sasa walio okoka ndio wapenda fedha zaidi, hawa wanasema corona ni pepo na jumapili waende kanisani na saddaka kubwa sana kumpa Mungu ili hilo pepo litoke
 
Kwa Kanisa Katoliki, Jimbo kuu la Dar, limeshatoka agizo kutoka kwa Mhasham Baba Askofu Mkuu, kuwaelekeza mapadre na waamini wote, kwanza kusitisha Mafundisho yote ya Wakatekumeni.

Pili ameelekeza namna utaratibu wa Misa utakavyokuwa katika kipindi hiki, ikiwa Ni pamoja na kusitisha kupeana mikono Wakati wa Misa, Maji ya baraka yanayowekwa kwenye malango ya Kanisa na Utaratibu utakaotumika Wakati wa Komunyo (meza ya Bwana).

Utofaut n kuwa Sheikh alitoa maelekezo through Press Conference Wakati Maaskofu wa TEC, kila mtu kwenye Jimbo lake Mahalia, akitumia utaratibu wa siku zote kwa kufikisha taarifa kwa waamini kupitia kwa wachungaji wao yaani Mapadre.
 
jaji mfawidhi
Acha kutumia maneno ya kashfa
Si kwel wakristo waliokoka wanapenda fedha,wewe hapo hupendi fedha?

Nadhan ungetumia lugha nzur kufikisha ujumbe wako ungeeleweka vyema kuliko kutumia lugha za kutazama kundi fulan kama ndilo linatatizo kwenye maswala ya fedha,,
Zingatia
Kila mtu anahaki yakuheshim dini au iman ya mwenzake

Hata kama awe anaabudu nyumbu,
Be careful
 
Kwa Kanisa Katoliki, Jimbo kuu la Dar, limeshatoka agizo kutoka kwa Mhasham Baba Askofu Mkuu, kuwaelekeza mapadre na waamini wote, kwanza kusitisha Mafundisho yote ya Wakatekumeni.

Pili ameelekeza namna utaratibu wa Misa utakavyokuwa katika kipindi hiki, ikiwa Ni pamoja na kusitisha kupeana mikono Wakati wa Misa, Maji ya baraka yanayowekwa kwenye malango ya Kanisa na Utaratibu utakaotumika Wakati wa Komunyo (meza ya Bwana).

Utofaut n kuwa Sheikh alitoa maelekezo through Press Conference Wakati Maaskofu wa TEC, kila mtu kwenye Jimbo lake Mahalia, akitumia utaratibu wa siku zote kwa kufikisha taarifa kwa waamini kupitia kwa wachungaji wao yaani Mapadre.
Ahsante kwa taarifa mkuu!
 
Mtoa mada umesema kweli kabisa,juhudi binafsi kwa kila mtu na taasisi kuonyesha jitihada za kupambana na covid 19 zinahitajika,ila bado kuna watu ama taasisi wanahisi watapoteza mapato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ad majorem, Shekhe katoa kaeleza mbele ya waandishi wa habari kwa sababu mufti kasimamia madhehebu yote ya kiislamu zaidi ya 10 lakini nyie wakristo kila dhehebu lina mkubwa wake na msemaji wake.lakini wote mnaitwa wakristo ilitakiwa muwe na msemaji mmoja na taasisi yenu iwe moja kama bakwata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist,
Manabii wa Uongo watoe tamko? wanaumwa?
wao mpaka sasa wanasema corona ni pepo na watu waende kanisani kwa wingi jumapili ili kukemea hili pepo la china.
FaizaFoxy alipata kusema ugonjwa huo ni adhabu kwa mchina kumnyanyasa muislam. leo tunashuhudia hakuna kuzunguka huko ka'aaba madrsa zimefungwa ndipo kama bindmu tunapswa kujitambua kwamba maish yanaweza kuendelea bila uwepo wa dini iwe ukristo au uislam inapotokea ukabeza dini fulani kwa kudhani ya kwako ipo sahihi nakufananisha n juha fulani aliyetolew ubongo wake wa asili na akawekewa ubongo wa kiumbe kingine

ingekuwa dini fulani ni sahihi kikombe cha ugonjwa huu kingewepuka waumini wake,

vatican wanalia
macca wanalia
the whole world is crying dini ziko wapi kusaidia?
 
drilling,
FaizaFoxy alipata kusema ugonjwa huo ni adhabu kwa mchina kumnyanyasa muislam. leo tunashuhudia hakuna kuzunguka huko ka'aaba madrsa zimefungwa ndipo kama bindmu tunapswa kujitambua kwamba maish yanaweza kuendelea bila uwepo wa dini iwe ukristo au uislam inapotokea ukabeza dini fulani kwa kudhani ya kwako ipo sahihi nakufananisha n juh fulani aliyetolew ubongo wake wa asili na akawekewa ubongo wa kiumbe kingine

ingekuwa dini fulani ni sahihi kikombe cha ugonjwa huu kingewepuka waumini wake,

vatican wanalia
macca wanalia
the whole world d is crying dini ziko wapi kusaidia?
 
Ad majorem,

Kwanini TEC wasitoe tamko la kusitisha kabisa misa za kila siku na Jumapili! Mkusanyiko ni mkubwa sana, imagine Jumapili ya matawi au hata Ijumaa kuu watu watakavyokuwa wengi makanisani. Bila kusahau mkesha wa pasaka.

Mimi binafsi nimeamua kuanzia Jumamosi hii siendi Jumuiya na Jumapili nasitisha kwenda kanisani hadi hali itakapokuwa poa
 
Mr Q,
Ma Shaa Allah. Huo ndiyo Uislam, Kwanza Salaam na amani ya viumbe vyote halafu mengine.

Na wewe ulitaka iwepo tu mikusanyiko ya Waislam?

Hivi huwa mnatumia nini kuwaza?

Kwa huo ujinga uliouandikau umedhihirisha ni kweli kabisa kuwa nguruwe ni najisi na ana minyoo inayopanda mpaka kwenye ubongo na kuunajisi. Sikushangai.
 
Ili tuweze kuudhibiti ugonjwa huu, pamoja na elimu inavyozidi kutolewa, basi hapana budi kuzuia kabisa makongamano ya maombi.

Yasije kutukuta kama yalivyowakuta Italia ambao walipuuzia ushauri huu na sasa ndio nchi ya pili baada ya China wananchi wake wanakufa kwa kasi na ugonjwa huu, siku ya tarehe 18 tu mwezi March tayari vifo vilikuwa 475, sababu ni nini? Sababu ni hiyo kwamba ugonjwa ulivyoanza kuingia walipuuzia ushauri wa kuzuia makongamano ya watu wengi.

Hivyo na sisi hatuna budi kuchukua tahadhari mapema kabla ya hatari. Mungu tunampenda na zaidi tunamuomba atuepushie mbali, tunatakiwa tutubu dhambi zetu na tumrudie Muumba wetu, ila wakati tunafanya hayo yeye alitupa AKILI na MAARIFA, hivyo tusitegemee atashuka kutoka mawinguni aje atuambie namna ya kujikinga na kuchukua tahadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom