digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Hoja mfu sana hii,papa ndo nani? na kwanini asikilizwe yeye na si rais Magufuli au madaktari tulokuwa nao nchini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF inasaidia kujua IQ za watanzania wenzetu. Tanzania ina wajinga wengi kuliko werevu na JF ni shahidi wa hiloHata hapa JF wajinga hao wako wengi tu wanaoshangilia kila kitu kisa tu knafanywa na watawala.
Go aheadHoja mfu sana hii,papa ndo nani,nakwanini asikilizwe yeye na si rais Magufuli au madaktari tulokuwa nao nchini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujalazimishwa kumsikiliza
Umeona hata Zimbabwe watu wameambiwa wasiende kwenye nyumba za ibada, waliokaidi wamepigwa viboko. Tatizo la Tanzania, wajinga ni wengi kuliko werevu.
Siyo lazima umsikilize Pope, ila basi wasikilize wataalam. Lengo langu siyo kukuomba umsikilize Pope, ila nilitaka kufikisha ujumbe kwamba Jiwe ni mkatoliki, Pope ni mkatoliki. Kuhusu imani ya mkatoliki kusali bora amsikilize Pope kuliko Jiwe
Hata hapa JF wajinga hao wako wengi tu wanaoshangilia kila kitu kisa tu knafanywa na watawala.
Sasa wachague kufa au kufanyia ibada majumbani mwao
Hoja mfu sana hii,papa ndo nani,nakwanini asikilizwe yeye na si rais Magufuli au madaktari tulokuwa nao nchini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamejazana tele humuJF inasaidia kujua IQ za watanzania wenzetu. Tanzania ina wajinga wengi kuliko werevu na JF ni shahidi wa hilo
Siyo lazima umsikilize Pope, ila basi wasikilize wataalam. Lengo langu siyo kukuomba umsikilize Pope, ila nilitaka kufikisha ujumbe kwamba Jiwe ni mkatoliki, Pope ni mkatoliki. Kuhusu imani ya mkatoliki kusali bora amsikilize Pope kuliko Jiwe