Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

WATANZANI TUEPUKE UJINGA
Tuzuie mikusanyiko wenyewe
Watumishi Makanisa Misikiti nyumba zote za Ibada mmeona kilichotokea Italy Iran South Korea IBADA zimewafanya wengi kuambukizwa

Umoja wa Mataifa utakuja kuwafungulia mashtaka viongozi wengi duniani kwa kuwapotosha watu wao wakaangamia kama nzige

Russia nako kiongozi wao ana fikra potofu sasa kuna Doctor amerudi toka Italy mgonjwa sana kabla ya kuanza kuugua amefanya vikao amekutana na watu wengi hofu iliyopo sasa watu wengi wataanza kuugua itakuwa Italy imehamia Russia. Amefunguliwa mashtaka yupo hoi kitandani akipatikana na hatia miaka mitano au zaidi jela inamhusu

Huku kwetu tunaambiwa twende kanisani misikitini kuabudu na kuomba shetani corona atoweke!

Are serious na maisha ya watu kweli
Tuna kiongozi sijui mtawala aliyekosa uelewa sijui atatambua hatari hii lini?

Wazazi wetu wakipoteza maisha kwa sababu ya Corona ' we will sue you'
 
Hata hapa tuanze wenyewe kuwatandika watakao kaidi
Umeona hata Zimbabwe watu wameambiwa wasiende kwenye nyumba za ibada, waliokaidi wamepigwa viboko. Tatizo la Tanzania, wajinga ni wengi kuliko werevu.

In God we Trust
 
Tutamsikiliza Pope
Siyo lazima umsikilize Pope, ila basi wasikilize wataalam. Lengo langu siyo kukuomba umsikilize Pope, ila nilitaka kufikisha ujumbe kwamba Jiwe ni mkatoliki, Pope ni mkatoliki. Kuhusu imani ya mkatoliki kusali bora amsikilize Pope kuliko Jiwe

In God we Trust
 
Pakawa,

Very very right. Hebu angalia wenzetu kenya
Disciplinary measures for churches, mosques and other places of worship that are found open

 
Ok
Siyo lazima umsikilize Pope, ila basi wasikilize wataalam. Lengo langu siyo kukuomba umsikilize Pope, ila nilitaka kufikisha ujumbe kwamba Jiwe ni mkatoliki, Pope ni mkatoliki. Kuhusu imani ya mkatoliki kusali bora amsikilize Pope kuliko Jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamesha chelewa sana maana wana cdm wanazidi kujizolea wafuasi tangu ile hukumu na wakafanya kosa tena la kuwavunja vunja kina mama.

Hayo matukio ni zaidi ya kufanya mikutano ya kisiasa maana cdm sasa imejizolea wafuasi kibao
Wana kazi moja tu " Chadema wasifanye mikutano"

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…