Kwa hiyo wengine wanaokufa hawana imani? Acheni upoyoyo na dini zenu fekiKufunga makanisa na misikiti ni kukosa imani. Njia pekee ya kukabiliana na Corona ni kuwa na Imani na kumtumainia Mungu.
Bado tuna nafasi ya kumlilia Mungu kwa kuonesha dhamira ya dhati kukusanyika nyumba za ibada. Hapo Imani yetu itatuponya.
Dini yangu inanifundisha Mungu ni muweza wa yote ,hata Corona ipo ndani ya uweza wake hivyo kinachohitajika ni suala la Imani tu kwa Mungu.Kwa hiyo wengine wanaokufa hawana imani? Acheni upoyoyo na dini zenu feki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufunga makanisa na misikiti ni kukosa imani. Njia pekee ya kukabiliana na Corona ni kuwa na Imani na kumtumainia Mungu.
Bado tuna nafasi ya kumlilia Mungu kwa kuonesha dhamira ya dhati kukusanyika nyumba za ibada. Hapo Imani yetu itatuponya.
Lia sasaKufunga makanisa na misikiti ni kukosa imani. Njia pekee ya kukabiliana na Corona ni kuwa na Imani na kumtumainia Mungu.
Bado tuna nafasi ya kumlilia Mungu kwa kuonesha dhamira ya dhati kukusanyika nyumba za ibada. Hapo Imani yetu itatuponya.
Mkuu kama ungalijua ukuu na karama za Mungu, utisho wa gonjwa la Corona ungaliuacha tu mikononi mwake. Hoja pengine ingalikuwa ni kwa viongozi wa dini kuendesha ibada zao kwa utaratibu maalum kwa ajili ya "social distancing".Kwanini serikali yetu imeacha kudhibiti mikusanyiko ya kidini kunusuru maisha ya watanzania dhidi ya corona. kwanini Jamani tunaendelea kunyamaza? Kwann nyuo na mashule yamefungwa lakn makanisa na misikiti imebaki? Kwann viongozi wetu dini wameshindwa kuwa wazalendo? Kweli sadaka ni bora kuliko uhai ya watu?.je ni kweli Mungu yuko makanisani na misikitini tu.
Mungu hakai kanisani au msikitini.Kufunga makanisa na misikiti ni kukosa imani. Njia pekee ya kukabiliana na Corona ni kuwa na Imani na kumtumainia Mungu.
Bado tuna nafasi ya kumlilia Mungu kwa kuonesha dhamira ya dhati kukusanyika nyumba za ibada. Hapo Imani yetu itatuponya.
Ni kweli Mungu yupo kila mahali( Omnipresent) lakini Mungu anachoangalia ni Imani yetu kwake. Kuacha kwenda kanisani au msikitini ni kukosa imani kwa sababu ukienda unahofia Corona.Mungu hakai kanisani au msikitini.
Hiyo ni mikusanyiko kama mikutano mingine.
Kuikataza hakutenganishi watu na Mungu.
Kwa kutokumjua Mungu wa kweli na kukosa maarifa, waafrika tumeshika dini hadi kuweza kuwa maangamizi yetu wenyewe.
Shetani kupitia hapo hapo kwenye huo ujinga, akapenyeza mawakala wake kuwa viongozi katika hayo hayo makanisa na misikiti.
Jana Maaskofu wamepongeza hatua ya rais wetu kuacha makanisa yaendelee na ibada na kuwa watu wachape kazi. Sijui kama ombi lako litasikilizwa.Leo Waziri ametangaza ongezeko la watu Walioambukwizwa corona lakini .jana watu wamejazana makanisani wakiambikizana. shule na vyuo vimefungwa lakini misikiti na makanisa imebaki ikiendeleza kusambaza.
Unarudi pale pale kwenye tatizo la msingi. Uhusiano wetu na Mungu upo hata bila uwepo wa makanisa na misikiti.Ni kweli Mungu yupo kila mahali( Omnipresent) lakini Mungu anachoangalia ni Imani yetu kwake. Kuacha kwenda kanisani au msikitini ni kukosa imani kwa sababu ukienda unahofia Corona.
Walio tuletea imani za dini wameshafunga makanisa yao. Jana waliendesha ibada online,tulio pokea imani tukajana makanisani... Waafrika sijui tuna shida gani!Kufunga makanisa na misikiti ni kukosa imani. Njia pekee ya kukabiliana na Corona ni kuwa na Imani na kumtumainia Mungu.
Bado tuna nafasi ya kumlilia Mungu kwa kuonesha dhamira ya dhati kukusanyika nyumba za ibada. Hapo Imani yetu itatuponya.
Nazani sadaka sio muhimu sana wakati huu!! Cha muhimu ni roho za watu!!Je, sadaka mtatuma kwenye namba hii..?
Dini yako imekupotosha kuhusu Mungu. Mungu ameweka kanuni na sheria za kimaumbile ili ziendeshe ulimwengu.Dini yangu inanifundisha Mungu ni muweza wa yote ,hata Corona ipo ndani ya uweza wake hivyo kinachohitajika ni suala la Imani tu kwa Mungu.
Huyo mchungaji nimemsikia maana nimesikiliza hiyo DW..nimefikiria nini kimo rohoni mwake kinachomwongoza kuongea namna hiyoNipo nasikia DW, Kuna mchungaji nmemsikia akisema kwenda kanisani ni Mkusanyiko wa lazima
Huyo mchungaji nimemsikia maana nimesikiliza hiyo DW..nimefikiria nini kimo rohoni mwake kinachomwongoza kuongea namna hiyo