Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Wakuu, dunia nzima iko katika hali mbaya na janga hili la corona

Watanzania tusisubiri serikali kukataza watu kutoka nje na kujihusisha na mikusanyiko ya aina yoyote ile, ni vema tukachukua hatua stahiki kabla ya serikali kutoa katazo na kujituliza majumbani mwetu pasipo na serikali kutangaza

Ndio, watanzania tusiwe wajinga kiasi hiki
Corona ni janga kwa sasa na hapa nchini hali na kasi ya maambukizi ni kubwa mno!
Tunahitajika kuchukua tahadhali na kujikinga na janga hili kwa kutokutoka ndani kujihusisha na mikusanyiko ya aina yoyote ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi wetu ni mtu mwenye huruma sana na wannchi wake muhimu tuzingatia uhauri wa wataalam tu hili nalo litapita
 
Tatizo mazingira yetu
Hivi tandale, Kino shamba,Moscow, manzese etc
Watu wanaishi nyumba za kupanga mbanano
Hivi wakibaki nyumbani si balaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za asubuhi

Wapendwa Leo nimepokea ujumbe toka kwa mzee wangu wa kanisa akinitaarifu kuwa jumuiya imeahirishwa kwa muda usiofahamika

Je ni wakati muafaka kufanya hivyo?
Sio kwamba tumechelewa?
Je Lockdown inaweza kutusaidia kwa sasa au tumechelewa?
 
Hali ya maambukizi ya covid-19 ikiendelea kuwa tishio nchini bado viongoz was baadhi ya makanisa wilayan Kilolo wanaendelea na utaratibu wa kawaida huku tahadhari pekee inayochukuliwa ni kunawa maji pekee.

Makanisa ya Roma kuanza sa12 asubuhi hadi sa4 wanakuwa wamemaliza ibada 2 Moja ikianzia sa12 hadi sa1.30 ingine sa2.30 hadi sa4. Madhehebu Kama ya kilokole, fpct na angliakana wameendelea kuchukua ibada Moja inayojaza watu na ibada kuchukua muda mrefu kama sa3 hadi sa7. Hali hii ipo Sana makanisa yaliyopo tarafa ya mahenge wilayan Kilolo. Swali ni je wanapuuza maagizo ya serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…