Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 740
Wakuu, dunia nzima iko katika hali mbaya na janga hili la corona
Watanzania tusisubiri serikali kukataza watu kutoka nje na kujihusisha na mikusanyiko ya aina yoyote ile, ni vema tukachukua hatua stahiki kabla ya serikali kutoa katazo na kujituliza majumbani mwetu pasipo na serikali kutangaza
Ndio, watanzania tusiwe wajinga kiasi hiki
Corona ni janga kwa sasa na hapa nchini hali na kasi ya maambukizi ni kubwa mno!
Tunahitajika kuchukua tahadhali na kujikinga na janga hili kwa kutokutoka ndani kujihusisha na mikusanyiko ya aina yoyote ile
Sent using Jamii Forums mobile app