Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

ila kengele kila siku makanisani huzisikii?

Sent using Jamii Forums mobile app
korona imeharbu ustaarabu wa dunia kwamba mtu anaweza zikwa kimyakimya Bila tartibu za dini yake,hata tusipoenda misikitini tutaishi tu,Ila dunia haiwezi kuwa na amani Bila dini hii ngumu kumeza🤣,piganieni amani viongozi wetu wa dini mna nafasi kubwa Sana katika dunia hii
 
Akili ku mkichwa hujalazimishwa kwenda kusali au kuabudu ilihali unajua kuna hatari ukifanya hivyo. Jiongeze usifate mkumbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli tuna safari ndefu kuondokana na maambukizi ya COVID-19 iwapo watu wanategemea maamuzi ya mtu mwingine kufanya maanuzi juu ya usalama wa uhai wake.

Ni ujinga, uzembe, au ujeuri kusumbil ufanyie kinga na mwenzio. Anza wewe kujikinga uwakinge na wapendwa wako.
 
Kweli kabisa,mimi nilipoona JPM na familia yake wamekimbilia Chato nami chap chap nikaikimbiza familia yangu huko kijijini kwa ndugu!Nilibaki mjini mwenyewe napambana huku nikichukua tahadhari zote lakini pia huwa napiga simu huko kijijini kuwa wajihami na wasibweteke kwani watu wengi wanarudi vijijini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…