Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika ugoro. Huelewekiimani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyojulikana: kama unaamini hivyo ni kwako, usiwaaminishe na wengine. Makanisani husikii kabisaaa...! waumini na vyombo vyao??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ni lazima. Tena pale inapo sema hayaa alal swalahKwani adhana ni kuwa lazima watu waende masjid? Hiyo ni kama alarm tu watu wakumbuke mda wa swala umefika hata nyumbani wafanye ibada.
Na maradhi?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nmejikuta tu nacheka
stidy
Kuna adhana inayo tolewa inaita watu msikitini na kuna adhana watu wasalie nyumbaniHuku kwetu Misikiti baadhi imefungwa na mda wa swala wana piga Adhana
I'm on that good kush and alcohol
Sawa mkuu sikuwahi kufahamu hilo.
Misikiti haijafungwa,,,lakini hata hivyo kule ilikofungwa,nasemea nchi zingine,adhana hupigwa tu japo watu hawaendi,Kuna adhana inayo tolewa inaita watu msikitini na kuna adhana watu wasalie nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa kaka ila hio adhana ikifika mahali ya kusema hayaa alal swalah hasemi anasemaMisikiti haijafungwa,,,lakini hata hivyo kule ilikofungwa,nasemea nchi zingine,adhana hupigwa tu japo watu hawaendi,
korona imeharbu ustaarabu wa dunia kwamba mtu anaweza zikwa kimyakimya Bila tartibu za dini yake,hata tusipoenda misikitini tutaishi tu,Ila dunia haiwezi kuwa na amani Bila dini hii ngumu kumeza🤣,piganieni amani viongozi wetu wa dini mna nafasi kubwa Sana katika dunia hii
Akili ku mkichwa hujalazimishwa kwenda kusali au kuabudu ilihali unajua kuna hatari ukifanya hivyo. Jiongeze usifate mkumbo.Kweli taasisi za kiislam mmeshindwa kufunga msikiti kipindi hiki cha maradhi. Sheikh mkuu tanzania umeshindwa kuwalinda waumini wako?
Ma sheikh mmepatwa na nini? Hamuoni misiba? Hamuoni wagonjwa?
Huu uwamuzi wenu wa kutokufunga msikiti ni msiba mkubwa. INALILAHI.
WAUMINI WA KIISLAM TUSALI NYUMBANI ILI KUJILINDA NA KUZILINDA FAMILIA ZETU. Tusiwafate masheikh wasio tujali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli tuna safari ndefu kuondokana na maambukizi ya COVID-19 iwapo watu wanategemea maamuzi ya mtu mwingine kufanya maanuzi juu ya usalama wa uhai wake.Kweli taasisi za kiislam mmeshindwa kufunga msikiti kipindi hiki cha maradhi. Sheikh mkuu tanzania umeshindwa kuwalinda waumini wako?
Ma sheikh mmepatwa na nini? Hamuoni misiba? Hamuoni wagonjwa?
Huu uwamuzi wenu wa kutokufunga msikiti ni msiba mkubwa. INALILAHI.
WAUMINI WA KIISLAM TUSALI NYUMBANI ILI KUJILINDA NA KUZILINDA FAMILIA ZETU. Tusiwafate masheikh wasio tujali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa,mimi nilipoona JPM na familia yake wamekimbilia Chato nami chap chap nikaikimbiza familia yangu huko kijijini kwa ndugu!Nilibaki mjini mwenyewe napambana huku nikichukua tahadhari zote lakini pia huwa napiga simu huko kijijini kuwa wajihami na wasibweteke kwani watu wengi wanarudi vijijini!Kwa kweli tuna safari ndefu kuondokana na maambukizi ya COVID-19 iwapo watu wanategemea maamuzi ya mtu mwingine kufanya maanuzi juu ya usalama wa uhai wake.
Ni ujinga, uzembe, au ujeuri kusumbil ufanyie kinga na mwenzio. Anza wewe kujikinga uwakinge na wapendwa wako.
Mbona huulizi kama nimevaa kondom. Au ukimwi siku hizi hauna madhara?