Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Hongera Magufuri sisi tunasikia kwa wenzetu weupe weusi hatujasikia hii inshu serious sasa ya nini uoga..!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda kuna 88%JF inasaidia kujua IQ za watanzania wenzetu. Tanzania ina wajinga wengi kuliko werevu na JF ni shahidi wa hilo
Wewe ni mgeni wa Minyoo
In God we Trust
Zifungwe tu ila mwahaikishie makasisi manabii na wazebedayo wanapataje sadaka zao....watawaunga mkono 100 asilimiaWaafrica tunaonekana ni wepesi sana kuamini ndio maana africa ndiko kwenye dini za kila aina na matapeli wengi wa dini.
Bado tunasua sua kufunga sehemu za kuabudia kama misikiti na makanisa kwa kama sehemu ya kupambana na corona
Mimi binafsi naunga mkono sehemu hizi zifungwe watu wafanyie ibada majumbani.
Najua viongozi wa dini wanapinga hili kwa sababu wanakula kwenye hizo ibada na mapato yao yanategemea mikusanyiko.
Tusiweke vidingizio eti kuna dua au sala za corona.. hata majumbani tunaweza kufanya.
Wala tusiwatishe waamini kwamba watakufa wasipo kujanibadani.. huu ni utapeli mkubwa.View attachment 1396758
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli wangeweka utaratibu mzuri ambao hautakuwa na hasara kubwa kwa wamiliki wa mabasi na mwendokasi ili kupunguza msongamano kinga ni bora kuliko tiba..Ninajua waziri wa Tamisemi mh Jaffo na RC Makonda mnapita sana humu Jf.
Naomba mnipatie jibu la sawali langu kuhusu msongamano wa abiria ndani ya mabasi ya mwendokasi wakati huu wa Corona, Mnafeli wapi?
Ni hilo tu.
Maendeleo hayana vyama!