Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Leo nimeangalia TBC wameonyesha makanisani watu bado wamejaa wanaendelea na sala,sala zinasaidia lakini watu wamepokea tofauti sana,tahadhari ziko wapi au ndo kusema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,hizi sala za siku 3 ndo kama imewapa makanisa go ahead.
Hivi hili janga tunapambana nalo kwa mtindo upi,kulikuwa na haja gani ya kufunga shule na vyuo kama makanisa yanaendelea ,tuache utani kwenye vitu serious lazima tujiongezee na tusisubiri mpaka mamlaka zitangaze kufunga kwa nguvu tunatakiwa tujiongezee.
Kama unaamini hutaathirika kwa kwenda kanisani au msikitini kwanini tukifika nyumbani usiku tunafunga geti na milango kwanini tusiache tu wazi tuombe ulizi wa Mungu?.
Ni vizuri makanisa na misikiti vikapigwa stop kwanza hili janga lipite na pia tujiongezee siyo tunasubiri tu matamko.
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧