Unamaisha ya kuangalia jirani anafanya nini.Ndio maana siku hizi sio marafiki tena kama zamani.
Tungjua naye kafanya nini leo ningefurahi sana. Nimesikia uzushi katolewa Kenya kwenda India.Tanzania tunajivunia Rais wetu pia sana.
Huo ndiyo mtihani mgumu kuufanya. Kuna nchi nasikia watu wamekufa mwa kuganda damu. Lakini UNICEF hawajathibitisha hilo. Nani aseme ukweli?Ni nani mwenye uhakika kama hiyo chanjo ni ya ukweli?