#COVID19 Vita dhidi ya Corona: Rais Kagame atoa mfano kwa raia wake

Dikteta ni Magufuli kwenye ukanda huu wa Mashariki
Kwahiyo hao wengine akina Kagame na Museveni sio Madikteta? ni mambo gani anayofanya Magu hadi awe Dikteta ambayo hao wengine hawafanyi?
 
Magu inajitahidi kuua Demokrasia usiku na mchana Mwizi wa kura anapiga risasi na kuwauwa Wapinzani na kawauwa Waandishi wa Habari na Watanzania we kusini wameuwawa kama Nzige

Mwizi wa kura aliyebobea anatumika Polisi wa Nchi kama Interahamwe wake

Museveni wa Kagame hawajafikia uhuni wa kiwango hicho
 
Hahahaha sawa dogo haya nenda ukale sasa.
 
Mnaojua kusoma picha, , , siku zote macho ya huyu mzee yapo acyive mno ni kana kwamba ubongo unachemka masaa yote na ni kana kwamba anawaza mambo mazito sana. Je ni yapi hayo au nimeitafakari hiyo picha vibaya
 
Huyu hata kucheka hua hacheki ile ki ukweli ukweli hua anatoa tu meno nje ku support wengine afu ndo imeisha hio hahahah.

Au labda ndio yale macho ya ki spy spy mkuu,kila muda anasoma watu,analyse situation etc
 
Mnaojua kusoma picha, , , siku zote macho ya huyu mzee yapo acyive mno ni kana kwamba ubongo unachemka masaa yote na ni kana kwamba anawaza mambo mazito sana. Je ni yapi hayo au nimeitafakari hiyo picha vibaya
Hizo ni ramli chonganishi tu,kwani nani anaweza kumalazimisha rais wa nchi apewe chanjo kama yeye mwenyewe hajaaamua?
 
Kama sijakuelewa hivi na nilicho uliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…