UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kwahiyo hao wengine akina Kagame na Museveni sio Madikteta? ni mambo gani anayofanya Magu hadi awe Dikteta ambayo hao wengine hawafanyi?Dikteta ni Magufuli kwenye ukanda huu wa Mashariki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hao wengine akina Kagame na Museveni sio Madikteta? ni mambo gani anayofanya Magu hadi awe Dikteta ambayo hao wengine hawafanyi?Dikteta ni Magufuli kwenye ukanda huu wa Mashariki
Magu inajitahidi kuua Demokrasia usiku na mchana Mwizi wa kura anapiga risasi na kuwauwa Wapinzani na kawauwa Waandishi wa Habari na Watanzania we kusini wameuwawa kama NzigeKwahiyo hao wengine akina Kagame na Museveni sio Madikteta? ni mambo gani anayofanya Magu hadi awe Dikteta ambayo hao wengine hawafanyi?
Hahahaha sawa dogo haya nenda ukale sasa.Magu inajitahidi kuua Demokrasia usiku na mchana Mwizi wa kura anapiga risasi na kuwauwa Wapinzani na kawauwa Waandishi wa Habari na Watanzania we kusini wameuwawa kama Nzige
Mwizi wa kura aliyebobea anatumika Polisi wa Nchi kama Interahamwe wake
Museveni wa Kagame hawajafikia uhuni wa kiwango hicho
IQ yako hafifu sanaHahahaha sawa dogo haya nenda ukale sasa.
Mnaojua kusoma picha, , , siku zote macho ya huyu mzee yapo acyive mno ni kana kwamba ubongo unachemka masaa yote na ni kana kwamba anawaza mambo mazito sana. Je ni yapi hayo au nimeitafakari hiyo picha vibayaWakati dunia ikapambana na janga la Corona mambo mengi yanatokea.
Rais Paul Kagame wa Rwanda amekuwa kiongozi wa ukweli baada ya kujitikeza kupata chanjo ya corona ili kuwapa imani wananchi wake nao kupata hiyo chanjo.
Hongereni sana ndugu zetu Wanyarwanda kwa kupata kiongozi wa kujivunia.
View attachment 1722935
Na milele atafanya hivyo maana teknolojia,elimu,madawa kila kitu ni chake.Hayo yote ni 🌉🌉 la wao kututawala kifikra
Huyu hata kucheka hua hacheki ile ki ukweli ukweli hua anatoa tu meno nje ku support wengine afu ndo imeisha hio hahahah.Mnaojua kusoma picha, , , siku zote macho ya huyu mzee yapo acyive mno ni kana kwamba ubongo unachemka masaa yote na ni kana kwamba anawaza mambo mazito sana. Je ni yapi hayo au nimeitafakari hiyo picha vibaya
Sawa ila nenda kula kwanza halafu ndio utarudi kuja kucheza.IQ yako hafifu sana
Hizo ni ramli chonganishi tu,kwani nani anaweza kumalazimisha rais wa nchi apewe chanjo kama yeye mwenyewe hajaaamua?Mnaojua kusoma picha, , , siku zote macho ya huyu mzee yapo acyive mno ni kana kwamba ubongo unachemka masaa yote na ni kana kwamba anawaza mambo mazito sana. Je ni yapi hayo au nimeitafakari hiyo picha vibaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajivunia, usinihusishe mbwa ww.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mataputapu wetu anapigania maisha yake saa hizi.Huwezi kupingana na sayansi ukawa salama,never!
India tena sio Kenya?Habari za india
Ndiyo Ukweli WenyeweTanzania tunajivunia Rais wetu pia sana.
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa TanzaniaIndia tena sio Kenya?
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa TanzaniaIndia tena sio Kenya?
Kama sijakuelewa hivi na nilicho ulizaHizo ni ramli chonganishi tu,kwani nani anaweza kumalazimisha rais wa nchi apewe chanjo kama yeye mwenyewe hajaaamua?