Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Nadhani tufanye anachoma chanjo za tetekuwanga.Una uhakika gani kwamba anachochomwa hapo ni chanjo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani tufanye anachoma chanjo za tetekuwanga.Una uhakika gani kwamba anachochomwa hapo ni chanjo?
Una uhakika gani kwamba anachomwa hapo si chanjo ?Una uhakika gani kwamba anachochomwa hapo ni chanjo?
Biden,Obama,Bush etc wamechomwa chanjo then anakuja msela wa pale kwa mfuga mbwa analeta ubishi.Mimi siwezi kubali Raisi wangu ageuzwe test tube ya dawa ya chanjo ya Corona kwenye early stage asubiri awe wa mwisho huko
Hata wafanyakazi wa sekta ya afya hawatakiwi kuanza kwanza wasubiri waone waliowachanja kwanza
Wao wananadi bidhaa yao una uhakika gani kama walichanjwa chanjo ya Corona ? Picha tu ilikurlthibitishia kuwa wamechoma? Kuwa ohh nimeona video!! mfano uko mahakamani ukaulizwa una uhakika kuwa biden na Trump.walichoma? Utapeleka picha mahakanani? Wale viongozi wa juu hawawezi ku risk kiasi hicho lakini walitaka bidhaa yao ianze ku roll out sokoni ianze kuingixa pesa ndio wakafanya lile igizoBiden,Obama,Bush etc wamechomwa chanjo then anakuja msela wa pale kwa mfuga mbwa analeta ubishi.
Ndio dunia yetu hio.
Nigga hebu tuliza wenge,malizia kula utumbo na miguu ya kuku hapo then shushia na ile juice ya kabudi kutoka Madagascar afu jilalie zako.Wao wananadi bidhaa yao una uhakika gani kama walichanjwa chanjo ya Corona ? Picha tu ilikurlthibitishia kuwa wamechoma? Kuwa ohh nimeona video!! mfano uko mahakamani ukaulizwa una uhakika kuwa biden na Trump.walichoma? Utapeleka picha mahakanani? Wale viongozi wa juu hawawezi ku risk kiasi hicho lakini walitaka bidhaa yao ianze ku roll out sokoni ianze kuingixa pesa ndio wakafanya lile igizo
Kwa hiyo kila baada ya miaka kadhaa ni lazima kuwekewa muhuri?Kuna utaratibu wa chanjo kama hizo ulizonazo mwilini. Wtanzania wote waliozaliwa kuanzia miaka ya 70's wana chanjo
Huyo mnaemwitaga Dikteta ndio kaonesha uongozi au sio huyo?Huko ndiko kuonyesha uongozi
Bila chanjo polio kutoka kwa mabeberu sasa hivi ungekua mlemavu maana polio ingekua imeshafanya yake.Kwa hiyo kila baada ya miaka kadhaa ni lazima kuwekewa muhuri?
Kwa hiyo ndio kusema
What goes around comes around!!!!!!
This is really Neo colonialism iliyosemwa na Trump
Wakwetu ndio diktatoor mbishi anayepambana na BarakoaHuyo mnaemwitaga Dikteta ndio kaonesha uongozi au sio huyo?
Dogo hela ina nguvu kuliko Sayansi,watu wenye hela ndio wako nyuma ya tafiti za hizi chanjo na madawa.Mataputapu wetu anapigania maisha yake saa hizi.Huwezi kupingana na sayansi ukawa salama,never!
Kwahiyo leo Kagame sio Dikteta tena kwa sababu ya corona?Wakwetu ndio diktatoor mbishi anayepambana na Barakoa
Huyu wa kwetu anayeuwa Mamilioni kwa kuzuia chanjo huyu ndio diktetaKwahiyo leo Kagame sio Dikteta tena kwa sababu ya corona?
Small mind and thinking capacity. Kila roho itaonja mauti. Mungu hajui rais, wewe ndio unajua hilo.Mimi siwezi kubali Raisi wangu ageuzwe test tube ya dawa ya chanjo ya Corona kwenye early stage asubiri awe wa mwisho huko
Hata wafanyakazi wa sekta ya afya hawatakiwi kuanza kwanza wasubiri waone waliowachanja kwanza
Hayo yote ni 🌉🌉 la wao kututawala kifikraBila chanjo polio kutoka kwa mabeberu sasa hivi ungekua mlemavu maana polio ingekua imeshafanya
Jibu swali Kagame leo hii amekuwa si Dikteta tena kwa sababu ya kuleta chanjo za corona kwa wananchi wake?Huyu wa kwetu anayeuwa Mamilioni kwa kuzuia chanjo huyu ndio dikteta
Nimeshakujibu ila kwasababu ya IQ yako hafifu huwezi kuelewaJibu swali Kagame leo hii amekuwa si Dikteta tena kwa sababu ya kuleta chanjo za corona kwa wananchi wake?
Nakuuliza kuhusu Kagame unaniambia kuhusu mtu mwengine,mimi nataka kujua Kagame sio Dikteta tena?Nimeshakujibu ila kwasababu ya IQ yako hafifu huwezi kuelewa
Nani kasema Paul "skinny" Kagame ni Dikteta mimi sijawahi kusema sasa tafuta aliyosemaNakuuliza kuhusu Kagame unaniambia kuhusu mtu mwengine,mimi nataka kujua Kagame sio Dikteta tena?
Kwahiyo tatizo ni wewe tu kusema au huyo mtu kuwa na hivyo vigezo vya kuitwa dikteta? kwahiyo kwa sababu mimi sijasema kuwa Magufuli ni Dikteta ndio anakuwa si Dikteta kwa sababu sijasema?Nani kasema Paul "skinny" Kagame ni Dikteta mimi sijawahi kusema sasa tafuta aliyosema
Dikteta ni Magufuli kwenye ukanda huu wa MasharikiKwahiyo tatizo ni wewe tu kusema au huyo mtu kuwa na hivyo vigezo vya kuitwa dikteta? kwahiyo kwa sababu mimi sijasema kuwa Magufuli ni Dikteta ndio anakuwa si Dikteta kwa sababu sijasema?
Sasa nakuuliza uniambie Kagame ni Dikteta au sio Dikteta? nijibu kwa unavyomuona wewe maana wengine wanamwita Dikteta yupo kundi moja na Museveni na Magu.