I wouldn't go to the media kama kweli mimi ni kiongozi na nimeshafikishiwa majina ya watumia madawa ya kulevya. Kwenda kutaja majina kwenye media maana yake nini??? Kwani tunapambana na dawa za kulevya kupitia media? Kama ingekuwa ni hivyo basi hata lisingekuwa tatizo maana media zimeshaandika sana kuhusu tatizo hili. Thinking outside the box ni muhimu sana...