Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Respect,watu tulivyokuwa tunasema hii vita ni ngumu tulitarajia lazima watajitokeza wengi kumpinga Makonda.Angalia jinsi Polisi,Mwigulu walivyokuwa kimya

Kukaa kimya sio kwamba hawatendi......hawa wanaweza kuwa bora 100 times makonda

Kelele na vita ya dawa za kulevya wapi na wapi? = maji na mafuta ya taa

kelele nikuwaepusha wahusika wajifiche na kuficha ushahidi
 
Kumekucha!!Ni siku nyingine tena,Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Dsm,ndugu Paul Makonda ataongea leo na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa vita ya madawa ya kulevya ktk jiji la Dsm.

Mkuu wa Mkoa atakuwa mubashara Clouds Tv mara ifikapo saa 05:00 asubuhi leo hii.

Tetesi ni kuwa,mkutano huo unaweza kuwa ni kujibu tuhuma za kuwa anawakabili "dagaa" na wakati "mapapa" wa biashara hiyo wapo.Na majibu ya mkuu wa mkoa yatakuwa ni kuwataja hao mapapa na kuelezea hatua zitakazochukuliwa...

Tega usikie....(Stay Tuned)
Anaongelea wapi?
 
Ninamkubali sana huyu Makonda! Kiongozi lazima uwe na msimamo bwana na usiyumbishwe yumbishwe. Big up!!!
 
mido luly

Huwe mtenganisha wakwimba na wa chato

kwajima yupo ccm kwasasa 100%
 
Kumekucha!!Ni siku nyingine tena,Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Dsm,ndugu Paul Makonda ataongea leo na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa vita ya madawa ya kulevya ktk jiji la Dsm.

Mkuu wa Mkoa atakuwa mubashara Clouds Tv mara ifikapo saa 05:00 asubuhi leo hii.

Tetesi ni kuwa,mkutano huo unaweza kuwa ni kujibu tuhuma za kuwa anawakabili "dagaa" na wakati "mapapa" wa biashara hiyo wapo.Na majibu ya mkuu wa mkoa yatakuwa ni kuwataja hao mapapa na kuelezea hatua zitakazochukuliwa...

Tega usikie....(Stay Tuned)
Hii 05:00 unamaanisha saa kumi na moja alfajiri ama? Nilivyofundishwa mimi ni kwamba masaa yanaandikwa kwa namna mbili. Either kwa kutumia mfumo wa masaa kumi na mbili yaani 05:00PM/AM ambayo ni saa kumi na moja alfajiri au saa kumi na moja jioni au kwa masaa 24 yaani 0500HRS ambayo humaanisha saa kumi na moja alfajiri. Wewe umemaanisha muda upi mkuu? Au ulitaka kumaanisha saa tano asubuhi?
 
Kuna baadhi vyama mpaka leo havieleweki vinasimamia maslahi ya nani, kuna wawakilishi wao walikuwa wanapiga sana kelele juu ya madawa ya kulevya leo mtu anasimamia wao wanakuja juu kutetea hao wahusika kila siku mapovu yanawatoka juu ya mapapa wa madawa hamjui kuwa viongozi wenu pia ni wahusika wakuu wa madawa nani asiye urafiki wa Lowassa na Rostam, rostam na familia yake ni mmoja wa wahusika wakuu.
Je nani hajui kuhusu GWAJIMA ambaye ndiye alkua mlez wa CHADEMA nani hajui juu ya haya.

Naona humu tunashabikia tunapiga kelele juu ya kitu ambacho hatukijui, msifuate upepo nyie bendera.
Mbona mm sijui...labda mwenzetu umekuwa GOOGLE kila kitu unajuwa!!, sasa unasubiri nini usiende kusaidia polisi??
 
Kukaa kimya sio kwamba hawatendi......hawa wanaweza kuwa bora 100 times makonda

Kelele na vita ya dawa za kulevya wapi na wapi? = maji na mafuta ya taa

kelele nikuwaepusha wahusika wajifiche na kuficha ushahidi
Wamekaa kimya miaka mingapi na hakuna la maana lililofanyika ? Huko nyuma ni drug dealers wangapi habari zao zilikuwa zinajulikana

Hii vita inahitaji massive campaign na ilipaswa hii vita itangazwe na PM,Waziri wa Mambo ya Ndani,Polisi washirikiane na vyombo vya habari hata wale wanaofanya hii biashara wafahamu kuwa now mambo yamekuwa tofauti.Duterte anawakamata na anawaua na ametangaza vita hadharani kabisa
 
Kumekucha!!Ni siku nyingine tena,Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Dsm,ndugu Paul Makonda ataongea leo na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa vita ya madawa ya kulevya ktk jiji la Dsm.

Mkuu wa Mkoa atakuwa mubashara Clouds Tv mara ifikapo saa 05:00 asubuhi leo hii.

Tetesi ni kuwa,mkutano huo unaweza kuwa ni kujibu tuhuma za kuwa anawakabili "dagaa" na wakati "mapapa" wa biashara hiyo wapo.Na majibu ya mkuu wa mkoa yatakuwa ni kuwataja hao mapapa na kuelezea hatua zitakazochukuliwa...

Tega usikie....(Stay Tuned)
Tunasubiri mubashara................. hii sinema huku tunatupia popcorns kuchangamsha fizi na kutoa harufu mbaya mubashara mdomoni
 
Watoto wa baba na mama mmoja wanapigana.Ndugu wakupigana chukia jembe ukalime wakipatana chukua kapu ukavune.

Mwisho wa siku Wema itabidi apelekwe tu mahakamani,hana jinsi.

Kelele nyingi zinakimbiza Ngoja.Makelele mengi ili uonekane unafanya kazi.Kwa heshima ni bora Sirro ajiuzulu tu mwenzie wa Magereza alipo ona matusi yanazidi kajipumzikia ndivyo inavyotakiwa kuwa.
 
Hii imekuwa tabia ya makonda apolianzisha jambo linapomgeukia tu huwa anakimbilia Clouds kwenda kujifaraghua. La msingi kama yeye ana nia ya dhati kuondoa tatizo hili anatakiwa aanze yeye na marafiki zake wa karibu ambao kwa pamoja ni mapapa ya kuuza unga hapo ndipo tutakapoelewa.
 
Labda atafafanua pia ile hoja ya Jose Msukuma jana bungeni kuwa ameepataje utajiri mkubwa alionao ndani ya miaka 3 tu

Msukuma uduni wa elimu ndio unaomla,
siku zote alikuwa wapi kuhoji hayo kama si hofu imezingira, na huenda ni mtumiaji au muuzaji hawezi tu kulipuka bure, hiyo ni defense mechanism kama yumo asubiri kutajwa........
The saga Continue
 
Back
Top Bottom