Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Umeandika nini?
 
Kwanini asiende TBC ?? Tunakolipia kodi zetu .
Huko MAWINGU kuna nini si nimeskia nao wako kwenye ile list au atawasafisha kwenye tuhuma
Why mawingu ?
Mawinguu hawezi kuwagusaa duniani nzima inajua
 
Kupitia Clouds TV Makonda anamtaja Mbowe kuwa anahusika na madawa ya kulevya. Jee haya ni mapambano ya madawa ya kulevya au kuna hidden agenda?

Mkuu Chakaza hakuna la kushangaza hapo na haimaanishi huko cdm ndio kuna watu wema sana. Acha apelekwe mahakamani, kama ni kweli hatua stahiki zichukuliwe na kama ni siasa chafu basi atafungua kesi ya nadai. Kuanza kumtetea Mbowe kutoka kwenye hiyo list ni kutaka kuvuruga hilo zoezi, tutaona mwisho wa hilo zoezi tuwe watulivu.
 


Nilijua tu hizi nguvu za kuwatetea wauza Sembe ni kwamba chadema wanahusika na uuzaji Sembe, sasa Tundu Lisu abanwe mpka aseme Sembe huwa wanatoa wapi!
 
Lengo lake ni kuwajua au kutokomeza hii. Biashara
 
Makonda aendelea kuwataja wahusika wa madawa ya kulevya wapo watu maarufu akiwemo yusuph manji, mchungaji gwajima, mbunge mstaafu wa kinondoni iddy azzan mmiliki wa slip way, na mmiliki wa casino wa sea cliff..na wengine wengi nk!!
Kama ni kweli natetemeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…