Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Hawa jamaa Tundu Lisu na Mbowe nilijua tu ni lazima wanauza na wanatumia Sembe!
Halafu walitaka tuwakabidhi nchi hawa wauwaji wa Vijana wetu? Yaani Mbowe na Tundu Lisu ndiyo wangekuwa Ikulu sasa hivi, hii Nchi kweli Mungu anatupenda!

Tundu Lisu unga mtupu!
1.jpg
 
Nilijua tu hizi nguvu za kuwatetea wauza Sembe ni kwamba chadema wanahusika na uuzaji Sembe, sasa Tundu Lisu abanwe mpka aseme Sembe huwa wanatoa wapi!
Tundu lissu sasa ye mwanasheria wa chama je atakuwa tayari kwenda kumtetea mwenyekiti wake kama atapelekwa kisutu?
 
moto chini namuunga mkono makonda ila usisahau upande wa pili kwenye kusibitisha kama kweli hizo ndo biashara zao mwanzo wametajwa

makonda mwishoni kamalizia kwa kusema tuliowaachia tuliwataka wawataje na kushirikiana na sisi ina maana kama hukutaja hutoki swali je kama mtu alitaja ili atoke inakuwaje?

Lakini pia ulimsikia alipo sema wanataarifa
Wao siyo wajinga.
Tatizo watu wanaingiza siasa na umimi ndani ya mapambano
Ubaguzi wa nani atajwe nani asitajwe!!
Akiwa mpinzani marufuku kutajwa!!
Haiwezekani
 
Mbowe nae..... Wapinzani tujipange tena haswaa!
JPM kapania kuuangamiza democracy inchini we must pull up!!
mashinji skuelewi kabisa an
 
moto chini namuunga mkono makonda ila usisahau upande wa pili kwenye kusibitisha kama kweli hizo ndo biashara zao mwanzo wametajwa

makonda mwishoni kamalizia kwa kusema tuliowaachia tuliwataka wawataje na kushirikiana na sisi ina maana kama hukutaja hutoki swali je kama mtu alitaja ili atoke inakuwaje?
L.akini amesema kwa wale anaowataja, taarifa zao wanazo kuliko hata wanavyofikiria. stay tune
 
Lisu kukamatwa zitto hakijaeleweka mbowe kupewa tuhuma za unga sasa nimeelewa mission ya makonda alikuwa anatumika kwa malengo maalumu
 
hii vita sio ya kuropoka ropoka. hili sio swala la sukari au mahindi ya njaa. tusimjudge mwigulu
I don't agree with you totally.Huyu ni mtu muhimu sana katika vita hii. Bweka yake itawafukuza mbweha!Mbona Rais katoa msimamo wake? Kafanya hivyo kwa kuwa anajua uzito wa kauli yake.Waziri wa Mambo ya Ndani naye anapaswa kutambua uzito wa kauli yake katika vita hii.
 
Back
Top Bottom