Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Kwanini asiende TBC ?? Tunakolipia kodi zetu .
Huko MAWINGU kuna nini si nimeskia nao wako kwenye ile list au atawasafisha kwenye tuhuma
Why mawingu ?
Yes nami nilishasikia Clouds kujihusisha na madawa haya na hasa wakati ule wa kifo cha Mangwea. Tuwe wawazi. Tuhuma ziwaendee wote tunaowasikia mitaani.
Kwa ujumla nampogeza RC. Amekwenda zaidi ya wengine ambao hawawezi hata kuzuia unywaji wa gongo!
Makonda nakupa thumb-up kuwakumbusha wabunge kwamba wengine lengo lao ni kuwaondolea usingizi.
 
Mpaka sasa nashangaa kinachoendelea ama kuna tatizo. Kwenye structure ya serikali vitendo vyote vya kihalifu inaangukia Wizara ya Mambo ya Ndani. Lakini kwa muda wa wiki naona mkuu wa mkoa wa Dar ndio amekuwa mstari wa mbele kwenye vita vya madawa ya kulevya yuko wapi Waziri ama Naibu wa Wizara ya mambo ya ndani?
Upande wa Polisi namuona kamanda Sirro pekee, Jeshi la polisi lina Kamishina wa kitengo cha madawa ya kulevya yupo wapi?
 
Chuki yako na Lissu imevuka mipaka Ika kuna siku utamtafuta ndugu yangu.Pole chuki hazijengi inabomoa.
Kwa maana hiyo issue siyo madawa issue ni kuwapambikizia Chadema mzigo wenu
Nilijua tu hizi nguvu za kuwatetea wauza Sembe ni kwamba chadema wanahusika na uuzaji Sembe, sasa Tundu Lisu abanwe mpka aseme Sembe huwa wanatoa wapi!
 
Aiseeee mambo ni mazito
Mbowe kwenye list
Lema ndani anasubiri hukumu
Lijuakali miezi 6
Lissu ndani kwa mahojiano
Zitto anaponea chupuchupu
Lipumba ndiyo anajulikana na msajili

Siijui siasa ila I doubt something big will come before 2020
 
Hebu tuweke list Yote ya makonda ya leo...ya watu 67

Ova
 
umeandika ukiwa na uhakika au ukada na chuki ndio vinakuongoza...............
 
Kwa mbowe hapo ni siasa zilizopangwa tu ili kudhoofisha upinzani,makonda anatumiwa
 
Huna ushaidi huo ni umbea ulio kithiri.

Mtoto wa kiume kuwa na mdomo mrefu kuliko dada yako ni shida.
 
Tupeni list kamili nimeona ngonjera tu mwenye list kamili please
 
Mpaka sasa nashangaa kinachoendelea ama kuna tatizo. Kwenye structure ya serikali vitendo vyote vya kihalifu inaangukia Wizara ya Mambo ya Ndani. Lakini kwa muda wa wiki naona mkuu wa mkoa wa Dar ndio amekuwa mstari wa mbele kwenye vita vya madawa ya kulevya yuko wapi Waziri ama Naibu wa Wizara ya mambo ya ndani?
Upande wa Polisi namuona kamanda Sirro pekee, Jeshi la polisi lina Kamishina wa kitengo cha madawa ya kulevya yupo wapi?
part and parcel of the game
 
Back
Top Bottom