Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Hawa jamaa Tundu Lisu na Mbowe nilijua tu ni lazima wanauza na wanatumia Sembe!
Halafu walitaka tuwakabidhi nchi hawa wauwaji wa Vijana wetu? Yaani Mbowe na Tundu Lisu ndiyo wangekuwa Ikulu sasa hivi, hii Nchi kweli Mungu anatupenda!
umeandika kutumia kiungo kipi?
 
hivi mbona kila kitu hamtaki sasa shida ni yeye kujuana na matajiri au shida ni MBOWE na GWAJIMA kutajwa hahahahahaha
Naona baada ya kukosa Mbowe kila mahali naona hii ndiyo ngazi ya mwisho kumbambikizia madawa any way ngoja tusubiri ushahidi
 
Kutokana na Mwenyekiti wa CHADEMA kuhitajika kituo kikuu cha Polisi kutokana na kuhisiwa kufanya biashara ya mihadarati, je Mwanasheria wake TUNDU ANTIPASI LISSU atakuwa tayari kwenda kumtetea mwenyekiti wake kama atahitajika kupandishwa kizimbani?
 
moto chini namuunga mkono makonda ila usisahau upande wa pili kwenye kusibitisha kama kweli hizo ndo biashara zao mwanzo wametajwa

makonda mwishoni kamalizia kwa kusema tuliowaachia tuliwataka wawataje na kushirikiana na sisi ina maana kama hukutaja hutoki swali je kama mtu alitaja ili atoke inakuwaje?
Ili nitoke ningemtaja yy mwenyewe
 
Eti tunawaita kuwasikiliza,
hamna kusikiliza kamata weka ndani ndo tutajua kweli hapo seriuosness,

hii list ya pili inatia matumaini kuliko ile ya akina wema,
tatizo sasa kwasababu waliotajwa wana pesa,eti wanaitwa kusikilizwa,ha ha ha ha.....
 
Makonda aendelea kuwataja wahusika wa madawa ya kulevya wapo watu maarufu akiwemo yusuph manji, mchungaji gwajima, mbunge mstaafu wa kinondoni iddy azzan mmiliki wa slip way, na mmiliki wa casino wa sea cliff..na wengine wengi nk!!
mmiliki wa slipway si huyu mwenye zile ndege za coastal aviation, au nitakuwa nimekosea
 
Kweli Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu,mtu anapewa nafasi ya kuongea vitu ambavyo hana uhakika navyo,mm nilijua ana uhakika na anachokifanya.kumbe ni mzaa tu.
 
Back
Top Bottom