Msukuma Msomi
Senior Member
- Feb 6, 2017
- 173
- 149
Habari ndo hiyo...na anajiandaa kupaa na Helikopta aelekee Entebbe mafichoni hadi hali ya hewa iwe shwari.Jamani mpaka mchungaji gwajima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndo hiyo...na anajiandaa kupaa na Helikopta aelekee Entebbe mafichoni hadi hali ya hewa iwe shwari.Jamani mpaka mchungaji gwajima
una ushahidi lakiniHapana Mbowe ni muuza poda
awamu ya 3 tunataka zaidi mapapa, safi sanaWalitaka mapapa watajwe, hao hapo sasa!!!! Waseme lingine
Yes nami nilishasikia Clouds kujihusisha na madawa haya na hasa wakati ule wa kifo cha Mangwea. Tuwe wawazi. Tuhuma ziwaendee wote tunaowasikia mitaani.Kwanini asiende TBC ?? Tunakolipia kodi zetu .
Huko MAWINGU kuna nini si nimeskia nao wako kwenye ile list au atawasafisha kwenye tuhuma
Why mawingu ?
Nilijua tu hizi nguvu za kuwatetea wauza Sembe ni kwamba chadema wanahusika na uuzaji Sembe, sasa Tundu Lisu abanwe mpka aseme Sembe huwa wanatoa wapi!
Mbona majina yametajwa mengi mkuu wewe umesikia mangapi?.Mbowe nae..... Wapinzani tujipange tena haswaa!
JPM kapania kuuangamiza democracy inchini we must pull up!!
mashinji skuelewi kabisa an
masogange ndani
Ona uzi hauna lisaa lkn comments zaidi ya 500Kuna watu wamenuna ujue
part and parcel of the gameMpaka sasa nashangaa kinachoendelea ama kuna tatizo. Kwenye structure ya serikali vitendo vyote vya kihalifu inaangukia Wizara ya Mambo ya Ndani. Lakini kwa muda wa wiki naona mkuu wa mkoa wa Dar ndio amekuwa mstari wa mbele kwenye vita vya madawa ya kulevya yuko wapi Waziri ama Naibu wa Wizara ya mambo ya ndani?
Upande wa Polisi namuona kamanda Sirro pekee, Jeshi la polisi lina Kamishina wa kitengo cha madawa ya kulevya yupo wapi?