Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro mbona kama nimekuona kwenye list[emoji23] [emoji23]Kaaazi kweli kweli
Umeandika nini?Kuna baadhi vyama mpaka leo havieleweki vinasimamia maslahi ya nani, kuna wawakilishi wao walikuwa wanapiga sana kelele juu ya madawa ya kulevya leo mtu anasimamia wao wanakuja juu kutetea hao wahusika kila siku mapovu yanawatoka juu ya mapapa wa madawa hamjui kuwa viongozi wenu pia ni wahusika wakuu wa madawa nani asiye urafiki wa Lowassa na Rostam, rostam na familia yake ni mmoja wa wahusika wakuu.
Je nani hajui kuhusu GWAJIMA ambaye ndiye alkua mlez wa CHADEMA nani hajui juu ya haya.
Naona humu tunashabikia tunapiga kelele juu ya kitu ambacho hatukijui, msifuate upepo nyie bendera.
Mawinguu hawezi kuwagusaa duniani nzima inajuaKwanini asiende TBC ?? Tunakolipia kodi zetu .
Huko MAWINGU kuna nini si nimeskia nao wako kwenye ile list au atawasafisha kwenye tuhuma
Why mawingu ?
hivi mbona kila kitu hamtaki sasa shida ni yeye kujuana na matajiri au shida ni MBOWE na GWAJIMA kutajwa hahahahahahaAseme na urafiki wake na wakina Saalah na GSM..... AACHE UNAFIKI. huwezi ona boriti jichoni mwa mwenzako wakati wewe una banzi jichoni mwako.
Wapende wote acha ubaguzi, hata msukuma nae ni kada mtiifu wa ccm.Ndio Maana Naipenda CCM!
Inazalishwa makada wakakamavu na wanaojiamini!
Asante Makonda!
Umethubutu!
Kupitia Clouds TV Makonda anamtaja Mbowe kuwa anahusika na madawa ya kulevya. Jee haya ni mapambano ya madawa ya kulevya au kuna hidden agenda?
Kumekucha!!Ni siku nyingine tena,Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Dsm,ndugu Paul Makonda ataongea leo na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa vita ya madawa ya kulevya ktk jiji la Dsm.
Mkuu wa Mkoa atakuwa mubashara Azam Tv mara ifikapo saa 05:00 asubuhi leo hii.
Tetesi ni kuwa,mkutano huo unaweza kuwa ni kujibu tuhuma za kuwa anawakabili "dagaa" na wakati "mapapa" wa biashara hiyo wapo.Na majibu ya mkuu wa mkoa yatakuwa ni kuwataja hao mapapa na kuelezea hatua zitakazochukuliwa...
Tega usikie....(Stay Tuned)
=======
UPDATE:
=======
Ameanza kwa Kumshukuru Rais wa Jamuhuri.
Paul Makonda asema anataka wauzaji wa dawa za kulevya wajulikane hadharani na hakuna sababu ya kuficha.
Paul Makonda asema vita vya dawa za kulevya vilianza muda mrefu kwa kufutilia hali ilivyo mitaani.
'Kuna watu nilitaka nikutane nao polisi, kuna tofauti kati ya kukamatwa na kuitwa, unapoitwa unapewa nafasi ya kusikilizwa'-RC Makonda
'Kampeni hii dawa ya dawa za kulevya si ya kufanyika kimyakimya tunataka hata watoto wadogo wajue dawa hizi ni hatari kwa afya'-RC Makonda
'Asante kwa watu kama TID, nawapongeza kwa kukiri na kusema kuwa wanatambua namna walivyoingia na kuomba serikali kuwasaidia'-RC Makonda
'Tumemaliza awamu ya kwanza vita ya dawa za kulevya, sasa hii ni awamu ya pili ambayo itakuwa si nyepesi itakuwa na mawimbi mengi-Makonda
'Awamu ya 2 ya vita ya dawa za kulevya tunaianza leo na tunaianza tukiwa tumekamilika, nimekuwa kwenye operesheni usiku na mchana- Makonda
'Watu wanafanya biashara za dawa za kulevya na meli zinazokuja na mafuta'-RC Makonda
'Kuna mama kazi yake ni kusafirisha watoto wa kike ambao wanapewa dawa za kulevya, wawili wako jela China na amewatelekeza'-RC Makonda
'Tukiendelea kuvutanavutana tutapoteza lengo la kupambana na dawa za kulevya'-RC Makonda
'Tukishindwa vita hii ya dawa za kulevya, hajashindwa Makonda au Rais Magufuli tumeshindwa wote'-Rais Makonda
'Tuko na majina 65, nitahitaji kukutana nao ijumaa, wako wanaosemekana wanatumia, wako wanasemekana wanazo taarifa zitakazotusaidia-Makonda
'Nawashukuru wenyeviti wa mitaa wameanza kuleta majina ya watu ambao wanawasiwasi nao kuhusu dawa za kulevya'-RC Malone's
'Kila tunayemuita tunamfahamu kuliko mnavyofikiri kazi yetu ni kuwasikiliza'- RC Makonda
'Zile nyumba mnazozitilia shaka, hamuelewi hata kinachoendelea ni wajibu wetu wananchi kutoa taarifa na taarifa zitakuwa ni siri-RC Makonda
'Kuna ambao tuliwaita wako nje ya DSM, wapo waliotoa taarifa na watafika ila wapo waliokimbia tunawafuatilia na tutawapata wote'- RC Makonda
'Nawashukuru ndugu zangu walioko nchi mbalimbali kwa kunipigia simu na kunipa taarifa mbalimbali'-RC Makonda
kitabu usichokielewa hujaandikiwa weweUmeandika nini?
Kama ni kweli natetemekaMakonda aendelea kuwataja wahusika wa madawa ya kulevya wapo watu maarufu akiwemo yusuph manji, mchungaji gwajima, mbunge mstaafu wa kinondoni iddy azzan mmiliki wa slip way, na mmiliki wa casino wa sea cliff..na wengine wengi nk!!
Hapana Mbowe ni muuza podaLengo lao nikumtoa ktk uenyekiti wake wa chama baada ya kuona wanachemka kumuweka mtu wao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] umenifananisha aisee.Bro mbona kama nimekuona kwenye list[emoji23] [emoji23]