Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Mkuu maajabu haya kitengo cha kuzuia madawa ya kulevya kiko wapi, waziri wa mambo ya ndani yuko wapi
 
Haya yalishapangwa ndio maana walianza kumkamata kwanza tundu lisu ili leo wamtaje mbowe wanapanga kuua upinzani kupitia makonda
Ina maana hamuamini kuwa Mbowe anajihusisha na biashara ya unga?
 
Nasubiri muv part tu ni kali sana naona riz one ndani mbowe ndani manji ndani lwakatare ndani .......
 
Na andelee tu kuwataja hili ni jambo jema, itafika wakati kweli itadhihiri na uwongo utajitenga.
 
Salary Slip kama ni kuchafuana tu vita hii haitafika kokote.

Unapomlazimisha MTU lazima kutaka kesho akitajwa yeye inakuwaje??

Ngoja tusubiri reaction ya Mbowe na Gwajima
 
nilijiuliza hili swali tokea mwanzo na nitaendelea kujiuliza mpaka pale nitakapopata majibu halisi. sidhani kama kuna mwenye dhamira ya kweli ya kupambana na uuzaji na utumiaji Wa dawa za kulevya Bali naona mwisho Wa hili tunaweza kushuhudia viongozi wengi Wa upinzani wakiishia Kuleeeeeeeeeee! huenda hii ni mbinu Moja wapo waliyoamua kuja Nayo. Muda utasema
 
Ila pale alimpotaja idd azan nimemuelewa sana...nasikia wanasema gwajima kajaza helikopta mafuta full tank...[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Hapo Kwa Idd Azan hope wengine watatajwa tu.

Full tank hahahah anataka kusepa mafichoni au?
 
Kwa hiyo nikimpigia simu na kumwambia nanihii naye anatumia dawa, kesho atakwenda kwenye media kumtaja??? Ha ha ha, hii nchi sasa inakuwa hatari kweli kweli...

Hiki hujakisoma post namba moja? "Kila tunayemuita tunamfahamu kuliko mnavyofikiri kazi yetu ni kuwasikiliza" - RC Makonda
 
Back
Top Bottom