Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ndio maana wanaambiwa wawe na hata ka digrii kuweza kuifanya kazi hii. Wengi kwa kweli ni shida tupu.Kuna shida kubwa sana kwenye Tasnia ya habari...
Kwa biashara ya unga na ujangili anything is PossiboHii ni vita ya kisiasa ,mimi siamini Mbowe awe mjinga kiasi hicho awe anajihusisha na madawa ya kulevya
Ina maana hamuamini kuwa Mbowe anajihusisha na biashara ya unga?Haya yalishapangwa ndio maana walianza kumkamata kwanza tundu lisu ili leo wamtaje mbowe wanapanga kuua upinzani kupitia makonda
Yalishapangwa haya,ndio maana walianza kumkamata lisu kwanzaIla kwa mbowe siamini kabisa
gwajima anatokomea kenya mda si mrefu,sijui ile misukule anamwachie nani masikini,Yule dogo wa Kisukuma ni ndugu yako?
Sidhani kama itaruhusiwa kupaa ile chopa
Hayo ndio mapapa sasaNaona baada ya kukosa Mbowe kila mahali naona hii ndiyo ngazi ya mwisho kumbambikizia madawa any way ngoja tusubiri ushahidi
Bora liuzi lako limehamishwa hahaha
Mbowe yeye nani?
Wacha upuuzi wewe
Awe mbowe nani hakuna kuangalia sura
Awamu hii umungu mtu mwisho Ufipa
Hapo Kwa Idd Azan hope wengine watatajwa tu.Ila pale alimpotaja idd azan nimemuelewa sana...nasikia wanasema gwajima kajaza helikopta mafuta full tank...[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Hata wewe waweza kuwa mfanyabiashara maatufuNimeamini kweli Mbowe ni mfanya biashara mashuhuri
Kwa hiyo nikimpigia simu na kumwambia nanihii naye anatumia dawa, kesho atakwenda kwenye media kumtaja??? Ha ha ha, hii nchi sasa inakuwa hatari kweli kweli...